Must see Movies

Emu turud back in days tulipenda angalia show za cartoon network kama Tom and jerry
Scooby doo
Ben Ten
Wakuu sites gani naweza pata kudownload hizi shows nimejaribu kimcartoon na kisscartoon naona mawenge tuuu.
Nataka niwe na playlist kwa ajili ya mm na mwanangu kipindi cha likizo hiki
 
Hivi kwani YouTube hamna.... Those good days kulikuwa na cartoon network channel 10[emoji16]
 
THE NIGHT AGENT..

Kuleni chuma hicho..kipo Netflix pia.
Ilivyotoka tu wadau tulimalizana nayo fasta. Kuna wabongo walikuwa wanaiponda ukiwaambia wakutajie nyingine nzuri kwa sasa wanarara mbere
 
Haya yote tutayaona kwenye THE CONTINENTAL ambayo inatoka mwaka huu
 
Bongo movie imefikia pazuri [emoji28][emoji28]
Kwangu mimi hii ndio muvi ya Kibongo kuona ina Robots ndani yake na action za magari kukimbizana, Probably ndio first Sci-fi movie ya Kibongo kuwahi kuiona.
Ingawa naona itakuwa ya kawaida ila kwa Wabongo wamejitahidi
 
Waweke sasa za kawaida zenye actions zinazo saidiwa na ubunifu wa teknolojia. Wengine za marobiti hatupendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…