Must see Movies

Must see Movies

Emu turud back in days tulipenda angalia show za cartoon network kama Tom and jerry
Scooby doo
Ben Ten
Wakuu sites gani naweza pata kudownload hizi shows nimejaribu kimcartoon na kisscartoon naona mawenge tuuu.
Nataka niwe na playlist kwa ajili ya mm na mwanangu kipindi cha likizo hiki
 
Emu turud back in days tulipenda angalia show za cartoon network kama Tom and jerry
Scooby doo
Ben Ten
Wakuu sites gani naweza pata kudownload hizi shows nimejaribu kimcartoon na kisscartoon naona mawenge tuuu.
Nataka niwe na playlist kwa ajili ya mm na mwanangu kipindi cha likizo hiki
Hivi kwani YouTube hamna.... Those good days kulikuwa na cartoon network channel 10[emoji16]
 
Nimeiwinda sana.
Zikitoka hizi tufahamishane
Hyptonic
Black lotus
Mkuu chuma chako kipo released ushakiona?
Screenshot_2023-06-03-07-35-29-11_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
THE NIGHT AGENT..

Kuleni chuma hicho..kipo Netflix pia.
Ilivyotoka tu wadau tulimalizana nayo fasta. Kuna wabongo walikuwa wanaiponda ukiwaambia wakutajie nyingine nzuri kwa sasa wanarara mbere
 
Muvi isipokuwa na muendelezo itakuwa haina maana
Yule demu ambaye faza ake aliuliwa na Donnie Yen Anataka kulipiza kisasi kwa Donnie kutokana na kifo cha mzee wake

Ile muvi haijaishia pale kaburini.
Baada ya maandishi yote kuisha kule mbele ilikuwa inaendelea
Wameonesha dem anatembea kwenye Street ya watu wengi halafu kwa mbali akamuona Donnie Yen akaanza kumfuatilia halafu alivyomkaribia akachomoa kisu then muvi ikaisha

So Kwa logic hii muvi yapaswa uendelee tuone kama yule dem atalipa kisasi (sijakariri jina lake) na je alifanikiwa kupambana na Donnie Yen mbele ya halaiki?
Haya yote tutayaona kwenye THE CONTINENTAL ambayo inatoka mwaka huu
 
Bongo movie imefikia pazuri [emoji28][emoji28]
Kwangu mimi hii ndio muvi ya Kibongo kuona ina Robots ndani yake na action za magari kukimbizana, Probably ndio first Sci-fi movie ya Kibongo kuwahi kuiona.
Ingawa naona itakuwa ya kawaida ila kwa Wabongo wamejitahidi

Waweke sasa za kawaida zenye actions zinazo saidiwa na ubunifu wa teknolojia. Wengine za marobiti hatupendi
 
Back
Top Bottom