Must see Movies

Nimeiona hapa azam TV
 
Wakuu tunaipakulia wapo hiyo daah
 
Watu8 siku nyingine usituletee takataka eti ni muvi za kivita.

Angalia hii guy ritches the covenant 2023. Dakika 28 za mwanzo zitaku satisify kabisa
 
😊 sawa mkuu...

Hiyo uliyoitaja nimeshaitazama ilipopandishwa tu kwenye vijiwe vyetu vya kudownload...
 
Kwa upande wangu series ya The Americans ndo series bora ya Ujasusi kama kuna nyingine nitajieni ilaa hii nimeinyooshea mikono[emoji119][emoji119]

NB: Nazungumzia Series sio single movie

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Moja kati ya series bora kabisa , hii series haimtaki mtu mwenye haraka , inahitaji utulie ufatilie visa taratibu
 
Visa vyake vimefanya niione hii kazi ya Usalama wa Taifa sio ya kuajiri vilaza unapaswa uwe na IQ iliyotulia na usiwe short temper utaharibu kazi muda wowote..

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Visa vyake vimefanya niione hii kazi ya Usalama wa Taifa sio ya kuajiri vilaza unapaswa uwe na IQ iliyotulia na usiwe short temper utaharibu kazi muda wowote..

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Ndio maana kuna neno intelligence humo. Sema mchi nyingine wanatoa neno intelligence wanaweka ukada kujuana n.k
 
Visa vyake vimefanya niione hii kazi ya Usalama wa Taifa sio ya kuajiri vilaza unapaswa uwe na IQ iliyotulia na usiwe short temper utaharibu kazi muda wowote..

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Na mule ndani kuna baadhi ya story ni za kweli kabisa ziliwai kutokea kipindi hicho wameziunganisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…