Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Nimeiona hapa azam TVBongo movie imefikia pazuri [emoji28][emoji28]
Kwangu mimi hii ndio muvi ya Kibongo kuona ina Robots ndani yake na action za magari kukimbizana, Probably ndio first Sci-fi movie ya Kibongo kuwahi kuiona.
Ingawa naona itakuwa ya kawaida ila kwa Wabongo wamejitahidi