Must see Movies

Ndio maana kuna neno intelligence humo. Sema mchi nyingine wanatoa neno intelligence wanaweka ukada kujuana n.k
Amini ndo maana 3rd World Countries hatuendelei kila kitu siasa tu, Intelligence inahitaji watu makini sana umo ndani mke na mme wameplay part kubwa sana ya illegal spy kuisaidia nchi yao.

Umo ndani mtu unafundishwa kukabiriana na kila hali ikibidi hata usex na kibibi[emoji23][emoji23] lengo utimize majukumu ya nchi.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Ilivyotoka tu wadau tulimalizana nayo fasta. Kuna wabongo walikuwa wanaiponda ukiwaambia wakutajie nyingine nzuri kwa sasa wanarara mbere
Anayesema The Night Agent sio nzuri anapaswa kufanyiwa vipimo vya AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…