Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Amini ndo maana 3rd World Countries hatuendelei kila kitu siasa tu, Intelligence inahitaji watu makini sana umo ndani mke na mme wameplay part kubwa sana ya illegal spy kuisaidia nchi yao.Ndio maana kuna neno intelligence humo. Sema mchi nyingine wanatoa neno intelligence wanaweka ukada kujuana n.k
Umo ndani mtu unafundishwa kukabiriana na kila hali ikibidi hata usex na kibibi[emoji23][emoji23] lengo utimize majukumu ya nchi.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app