Must see Movies

Servers za goojara ni za kijinga sana.
 
Na kuna wakati unasaga MB 680 kati ya MB 800 download ina feli. Nilisha achana na goojara
Servers za goojara ni za kijinga sana.
Wakuu, mnatumia nini kudownload?! Binafsi nina IDM yani haijawahi kufeli. Tena kama upepo hizi movies za MB 600 mda mwingine robo saa tu tayari ishamaliza.
Labda itakuwa ni mtandao haupo stable. Sijawahi kukutana na hiyo changamoto. It works very fine with me!!
 
Na kuna wakati unasaga MB 680 kati ya MB 800 download ina feli. Nilisha achana na goojara
Hili nilidhani linanikuta mimi tu, vipi kwasasa unashusha movies kupitia site ipi?
 
Mtandao unaonekana haupo stable nikiwa goojara tu, mbona kwingine vitu vinashuka faster kwa mtandao huohuo? When all factors are kept constant, goojara has got poor servers compared to other genuine sites.
 
Kwa kweli mkuu sijui shida itakuwa nini, maana mi mwenyewe naitumia sana hiyo goojara naona ipo poa. Tena huwa naweza kuzipanga hata movies 5 na nazipata vizuri tu.
Au huwenda internet speed yangu ni ya kobe halafu naona ipo normal[emoji16]. Hebu Reuben Challe atupe mrejesho nayeye maana ndio alinipa hili chaka
 
Mi naitumia kuangalia movie online tu
Sijawahi kuitumia kudownload movie
 
Tatizo nimeshalijua. Wengine tunashusha kupitia simu na mtandao huwa upo hivi
 
MB 600 robo saa bdo huo muda unaotumia ni mwingi

yaani unapata average ya MB 1.5 per second

Ama sawa na 12mbps

kawaida sanaa hyo speed ni level ya 3g.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…