Must see Movies

Umemaliza kabisa kaka hakuna cha kuongezea.
 
Humu Jamie Foxx hajaboa sana. Ni movie poa tu mkuu hasa kama unapenda filam za comedy pia
 
sijawahi onaga movie ya kutafsiriwa kwenye bus la KILIMANJARO aisee, labda kama ulimaanisha mabus yanayoenda Shinyanga ama kigoma[emoji16][emoji16]

hyo movie hapana kuna ucomedy ambao hauchekeshi

tena Jamie fox mburaaaaa

mtu pekee ninayeweza kucheki actions zenye ucomedy ni Jackie chan peke yake duniani

na Jackie akiamua kuwa serious kwenye scene anakuwa serious hasa

that is pure talent aiseeee.
 
Sasa wewe unajudge movie ambayo haujaiona then unaanza kuingiza movie za Jackie Chan [emoji38][emoji38]
Nilichokuwa nasema ni kwamba Day Shift ni kali kuliko Top gun
Kwenye Top gun Maverick sijaona cha maana zaidi ya hype ambayo watu wanaipa
Kwanza umeshajionesha kuwa ili movie iwe nzuri kwako ni lazima iwe na characters unaowapenda wewe. Sishangai kwa nini hukuiangalia Day Shift
 
Mkuu actors wote kwenye comedy movies hujamuona yoyote zaid J. Chan[emoji16]
 
Una download na kistream na unachagua quality unayoitaka na unazikuta na subtitles kabisa
Nimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
 
Mfano huo nimeclick hiyo John wick inaniletea options 2 watch and download
 
Ukienda kwenye download itakuleta option ya kuchagua quality
 
Ukichagua quality itakuletea option ya kuchagua subtitles then utadownload unatakiwa uwe na application ya SPLAYER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…