korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
na hpo ilikuwa katika mazingira halisiApocalypto ni moja kati ya movies zilizochezwa vizuri sana, characters, mazingira na story vyote vilikuwa on point.View attachment 2658210
Sidhani kama Africa itakuja kufikia hatua hii kwenye uwekezaji wa movies, angalia mitambo ambayo ilitumika kuchukua video, hapo tunazungumzia 2006 huko.View attachment 2658211