Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Ichek FAUDA kama hujawai kuiona, BLINDSPOT,Hebu acha kurukaruka na seriz za kichawi nipe moja hapa yenye mapigano na ujasusi/upelelezi bayo haijatajwatajwa sana humu kesho nishinde nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ichek FAUDA kama hujawai kuiona, BLINDSPOT,Hebu acha kurukaruka na seriz za kichawi nipe moja hapa yenye mapigano na ujasusi/upelelezi bayo haijatajwatajwa sana humu kesho nishinde nayo
Fauda nilisikia ina ushoga?Ichek FAUDA kama hujawai kuiona, BLINDSPOT,
Israel na ushoga ni kushoto na kulia, mimi nimeangalia sijaona ushogaFauda nilisikia ina ushoga?
Israel kuna hadi parade za ushoga ila kama haina hayo mambo nimefufahi kusikia hivyoIsrael na ushoga ni kushoto na kulia, mimi nimeangalia sijaona ushoga
Hakuna ushoga ila yule mwanamke wa kiarabu wanamzagamuaFauda nilisikia ina ushoga?
Hii SAW lazima niiangalieSAW 2023 COMING SOON.
achana na hizo from zenu
Ngoja nije kushusha vipande kama vifatu kwanza nione mwelekeo wakeHii SAW lazima niiangalie
Natumai itakuwa na damu nyingi kuliko SAW VII na itakuwa na mauaji ya kikatili kuliko Terrifier 2 na watu watajeruhiwa vibaya kuliko kwenye The Night Comes for us
Waongeze scenes za watu kuchanwa vipande vipande na mashine zenye ncha kali na damu iwe real, isiwe ya pink kama mwanzoni mwa SAW VII
Natamani waweke ukatili ambao wanawake na watu wenye roho nyepesi hawawezi kuvumilia kuuangalia 😁😁
Halafu hiyo FROM unaidiss lakini iko poa sana. Unavyobagua movie ndio unazidi kukosa mambo matamu 😀😀
Na recommend hiyo FROMNgoja nije kushusha vipande kama vifatu kwanza nione mwelekeo wake
Kazi yanzileMission: Impossible (1996)
Mission: Impossible 2 (2000)
Mission: Impossible III (2006)
Mission: Impossible – Ghost Protocol (2011)
Mission: Impossible – Rogue Nation (2015)
Mission: Impossible – Fallout (2018)
Mission: Impossible – Dead Reckoning Part One 2023
Mission: impossible-dead reckoning part two 2024
Wise decision 😅😅Ngoja nije kushusha vipande kama vifatu kwanza nione mwelekeo wake
Hii ndio nilikuwa natumia ku download then inaniambia 3 weeks remainingKazi yanzile
View attachment 2703106
Ukiwa na 4G inayogonga 4MBs unamaliza muvi zako haraka sanaHii ndio nilikuwa natumia ku download then inaniambia 3 weeks remaining
Nimeshindwa kutumia U torrent, na 4G ya Voda ila wapi
Hiyo the killer ni ya mwaka gani?Kama unataka kuchangamsha akili check hivi vigongo
The killer
Swordsman
The battle at lake changjin
Kwa wanaopenda sea adventure angalia the little marmaid.
NitaishushaLimetoka leo mimi nimedownload bado sijaangaliaView attachment 2708528
Labda mwezi ujaoMission Impossible bado tu hd??