Punguza ukali wa maneno la uzi hautadumuUzi ndio umeanaza tu alafu unaanza kubwabwaja kihelehele kama uko period.
Nataka kushusha single movie je napata wap msaada
Nenda wanapouza sidii utaipataNahitaji movie ya KIRIKUU ile ya kiswahili msaada wakuu
ingia youtube ipoNahitaji movie ya KIRIKUU ile ya kiswahili msaada wakuu
ScarsThe Night Agent
Hii series ni tamu sana. Kama haujaangalia fanya mpango uiangalie hata kama hupendi series, Hii utaipenda tuView attachment 2634580
John Wick Chapter 4 nimeipata kwa MB chache sana, bado kuiangalia tu. Sasahivi Niko na The Night Agent kwanzaView attachment 2634584
πIlivyotoka tu wadau tulimalizana nayo fasta. Kuna wabongo walikuwa wanaiponda ukiwaambia wakutajie nyingine nzuri kwa sasa wanarara mbere
Scars hapa sasa kama ni promo nilijitahidi inatosha kwa leoππMuvi gani haina uongo?
Ni sawa na wanao iponda The Night Agent ukiwauliza wakupe series nzuri ya sasa wanakula kona au wanakutaji vitu vya ajabu mpaka unabaki mdomo wazi ππππ
Yeah kabisa nakubaliana na maoni yako
Naomba link mkuu itapendezaingia youtube ipo