Must see Movies

kweli kabisa, mi kwenye movie huwa napenda zenye scripts nzuri na wenye punchlines kama jack nicholson, morgan freeman na michael douglas. wabongo wengi scripts huwa mbovu na hawana punchlines. wengi hujiongeleaongelea na kutoka kwenye story.
 
nakubaliana kabisa na wewe mkuu Red Giant...
 
Ukisoma ukurasa wa wikipedia wa hii movie na nyingine nyingi kama sio zote za Hollywood ndio utaona wenzetu wako mbali zaidi kiasi gani. Ilimlazimu Keanu asafiri Brazil ili kwenda kujifunza sanaa ya mapigano, alijifunza kirusi,

hiyo inaonesha ni kwa kiasi gani wenzetu wako "serious" na mambo yao, na jinsi gani wanajua wanachokifanya...na mwisho wa siku matunda ya kazi zao yanaonekana
 
Last edited by a moderator:
Mimi siyo mpenzi sana wa kutazama filamu lakini katika moja ya filamu ambazo nazipenda sana ni Baby Boy.

Hii filamu ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona Taraji P. Henson.

Moja ya matukio niliyoyapenda sana kwenye hiyo filamu ni ile 'sex scene' kati yake (Taraji) na Tyrese.

Tukio jingine ni pale Ving Rhames alipokuwa akitengeneza staftahi jikoni bila nguo halafu Tyrese akawa anatoka chumbani kwake akielekea jikoni kulikokuwa kunanukia akidhani mama yake ndo alikuwa akitengeneza hayo mahanjumati kumbe ni Melvin (Ving Rhames), njemba iliyokuwa inammega mama yake na Jody (Tyrese).

Mpaka leo sichoki kuiangalia hii filamu.
 
Acha tu hapo....
 
Baby Boy ni movie nzuri sana, Taraji na Tyrese wote walicheza vizuri sana. Mimi sinema niliyoiangalia mara nyingi sana kuliko sinema yoyote ni Pretty Woman. Ikiwa inaonyeshwa kwenye TV basi nitaiangalia yote. Julia Roberts aliniudhi alipokataa kucheza sequel mwaka 2000.

hiyo movie hata mimi ilinibamba sana, jamaa ilikuwa anamvumilia demu clueless kabisa. sequel nyingi huwa hazivutii na pengine aliona age itakuwa imeenda sana. nimeona horrible bosses 2 ni mbaya jap waigizaji wazuri. sequel kuhit ni kazi sana.
 
Reactions: BAK
Juzi walikuwa wanasherehekea miaka 25 tangu iwe released. Waliulizwa kuhusu sequel Richard Gere akasema yeye yuko tayari ila Julia Roberts akadai watu hawatapenda kumuona old hooker. Watu wachache waliokuwepo pole waliombwa wanyooshe vidole kama watapenda kumuona Old hooker wote wakanyoosha.

hiyo movie hata mimi ilinibamba sana, jamaa ilikuwa anamvumilia demu clueless kabisa. sequel nyingi huwa hazivutii na pengine aliona age itakuwa imeenda sana. nimeona horrible bosses 2 ni mbaya jap waigizaji wazuri. sequel kuhit ni kazi sana.
 
hiyo movie hata mimi ilinibamba sana, jamaa ilikuwa anamvumilia demu clueless kabisa. sequel nyingi huwa hazivutii na pengine aliona age itakuwa imeenda sana. nimeona horrible bosses 2 ni mbaya jap waigizaji wazuri. sequel kuhit ni kazi sana.
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
BAK au yoyote mwenye movie ya Fast & Furious 7 naomba.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Miye nimeiangalia kwenye movie theater Mkuu ni nzuri sana na mwisho wametengeneza tribute ya Paul Walker nzuri sana nina uhakika kwa wale wenye machozi ya karibu watadondosha mawili matatu.

BAK au yoyote mwenye movie ya Fast & Furious 7 naomba.
 
Miye nimeiangalia kwenye movie theater Mkuu ni nzuri sana na mwisho wametengeneza tribute ya Paul Walker nzuri sana nina uhakika kwa wale wenye machozi ya karibu watadondosha mawili matatu.
Niliko Theater fully booked itabidi nisubiri kama wiki ipite au mbili, uvumilivu sasa, asante sana
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…