Must see Movies

Must see Movies

Huezi amini hii muvi Ni ya kitambo lakini sijawahi kuiangalia. Mara zote ninapotaka kuidownload nakutana na yenye lugha ya kihindi basi naishia kuachana nayo.
Ntajitahidi kuitafuta kwa kweli
Kidi kudi tafuta subtitle ya kingereza itakuwa poa.
 
Kidi kudi tafuta subtitle ya kingereza itakuwa poa.
Nimemaliza kuicheki this night hii kitu, nimefurahi namimi kuiona na nimeipenda kwa jinsi 'Khan'(from epiglottis) alivofocus kwenye promise yake mwanzo mwisho
 
Ukiacha Sometimes in April na Hotel Rwanda, ni Movie gani ingine inaelezea mauaji ya Kimbari ya Rwanda 1994?
 
Idownload mkuu ina subtitle ya kiingereza. Hutojuta.

Hivi kuna Movie nzuri zaidi ya hii aliyocheza Sharu Khan? Nimeipenda sana hii Movie hasa pale mama yake alivyokuwa anamwambia

Remember one thing, son. There are only two kinds of people in this world. Good people who do good deeds. And bad people who do bad. That's the only difference in human beings. There's no other difference. Understood? What did you understand? Tell me
 
Ni site gani ambayo naweza download movie zenye quality nzuri wakuu?
 
jamani kama kuna mtu ana link ya muvi ya "London has fallen" nadhani ni toleo la pili la ile ya "Olympia has fallen"
BAK
 
Back
Top Bottom