Must see Movies

Mkuu si kila mcheza sinema mweusi ana uwezo wa kucheza movie kama alionao Denzel. Denzel ni habari nyingine na kipaji chake katika uchezaji sinema ni kikubwa sana. Pia ana mvuto mkubwa sana kwa wapenda sinema wakiwemo weusi, wazungu, latino etc ambao hauishii marekani tu bali dunia nzima. Hivyo wapenda sinema wakisikia movie imechezwa na Denzel wengi wala hawahangaiki kutafuta movie revew ya hiyo movie au kuingia utube kuangalia trailer bali huamua kwenda kuiona tu kwa sababu wanajua yumo Denzel wanajua itakuwa sinema nzuri. Denzel kishajijengea reputation na credibility kubwa sana duniani. Na movie zake nyingi bajeti huanzia $60 million na kuendelea na miaka yote Denzel hurudisha bajeti na faida ya kutosha tu.

Tukirudi kwa hawa wacheza sinema wengine weusi wengi hawana mvuto alionao Denzel na pia kipaji cha uchezaji sinema alionao Denzel hivyo ni vigumu kupata movies zenye bajeti kubwa kiasi hicho kwa wahusika kuhofia kupata hasara. Na movie kama hiyo hapo juu ina soko lake japo si kubwa sana. Movie kama hizi bajeti yake ni kati ta $5 million mpaka $20 million na wakiingiza $60 million pesa yao imerudi na cha juu pia.

Hivi ambacho sielewi hiii black community ya USA hawawezi tengeneza serious movies Kama za danzel Washington kwa sasa zaidi ya comedy???
 
MY FAVORITE ACTION MOVIES OF ALL THE TIME
1) The Equalizer
2) Pulp Fiction
3) Taken
4) Lock stock n 2 smoking barrel
5) Eastern promises
6) Mr & Mrs Smith
7) Carlito's way
8) Man on fire
9) Casino
10) Salt
11) The Punisher
12) Killer's Elite
13) Desperado
14) Django Unchained
15) Ronin
16) The Missing
17) Apocalypto
18) Snatch
19) Prince of Persia
20) Reservoir dogs
21) Inglorious basterds
22) The man from U.N.C.L.E
23) From Paris with Love
24) The Bank Job
25) Inside Man
26) Heat
27) Bourne identinty,Ultimatum,Supremacy
28) Transporter I,II,III
29) Kill Bill I,II
30) The God Father I,II,III
 
Wakuu Heshima kwenu.

Natafuta Hii Movie Eye in the Sky 2016 sijui pa kuipata. Msaada tafadhali any link au duka.
 
Hii List ya 2016 inanifanya nakuwa nusu Chizi.....


Wapenzi wa Animation

.




I can't wait April 29 maana trailer lake nimelipenda sanaa






Ndo movie iliyo mpa tuzo huyu jamaa...
Zaidi ya miaka 20 ya uigizaji..
One of my favorite 2016





Naiacheje God's Of Egypt




Naikubali sanaaa..





London has Fallen.. My favorite One.. Tangu mwaka huu uanze...





Kama umeangalia series ya breaking bad utakuwa unakumbuka huyu jamaa alikuwa anaitwa Walter..

I can't wait.. 15 July...





Wapenzi wa hacking stuffs... Haya mzigo huo..
Deep Web
 
Hii app unayopakulia inaitwaje na naipataje?
 
hii watchlist ni hataree,,dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…