Wakuu Kwema .
Help me
Ni hii movie ya kijana Mmoja Alikua anauza madawa ya Kulevya , alikua na Asili ya awatu wa Bara la Asia,baada akaja akakamatwa airport sijui nii ya nchi gani ,lakini baada mama yake anaonekana kufunga safati na kwneda kumsalimu akiwa Jela ...
Nilibagatika Pia kusikia Kauli Moja ya afisa akimuukiza Dogo, hiinilikua kwnye trailer sasa , Afisa akaukiza "do yoi knw the penalty for drug trafficking in this Country ? .
Hayo tu ndio nayakumbuka From that Trailer
Niliiona Kwnye Trailer zamani sana Dstv , Baadae Nikapoteza Jina lake mahala niliandika . Kwa kipind hicho haikua imetoka nadhani .
Inabase On True Story..
Nnachhitaji ni Kujua jina la Movie husika ili niweze kuitafuta.
Naamini hapa nitapata mdau/wadau wa kunisaidia kwa Hili .
Natanguliza Shukrani zangi.