Must see Movies

Hii movie inaitwaje kwa wale wataalam wa kuangalia movie?
Nimeipenda kwakweli nataka niitafute nimepata kipande kidogo tu.

Nitashukuru nikisaidiwa wakuu
Video imegoma nmeona nwek screenshot
 
Hiyo Hacksaw Ridge ni true story na ndio movie yangu ya mwaka. Kama kawaida Mel Gibson hakoseagi.

Daah hii movie hatari sana....akina Gwajima inabid in waiangalie na waone jinsi imani halisi zinavyofanya kazi wakati wa wa tabu na shida
 
Hii movie inaitwaje kwa wale wataalam wa kuangalia movie?
Nimeipenda kwakweli nataka niitafute nimepata kipande kidogo tu.

Nitashukuru nikisaidiwa wakuu
Video imegoma nmeona nwek screenshot
Inaitwa FEAR FORCE FIVE ipo in series nazani zilitokaga sijui episode 3 ni ya kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…