Must see Movies

Kuna muvie flan ya Donnie yen. Hii muvi iko ivi Mwanzoni inaanza kama Donnie yupo maeneo ya Kijiji na familia yake na yupo kama ajui ngumi. Sasa kuna wezi walitokea kuvamia Kijiji na kutaja kupora Mali. Donnie alijifungia nao kwenye nyumba flani na kuanza kupambana nao. Na kuna askari flani ivi ambae alikuja kupeleleza mauaji haya.
Hii muvi inaitwaje kwa anaeifahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ni IP Man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New big boss (A legend of the wolf)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wu Xia
 
Wakuu wa hizi mambo kuna hii series comedy inaitwa chewing gum. Nimeona trailer zake nimimezikubali. Wanyanwezi toka UK wanatema lile yai la ki UK toka kwa malkia. Huwa lina sound good napo sikia english orijino toka UK. Mwenye kujua site ambayo huwa inapatikana. Nasikia ilitoka 2015 na 2017 walaishia season 2.
Site zetu zile wadau. Haya mambo ya kulipia na bando lenyewe ndondondo sio chururu.
 

Attachments

  • p12170428_b_v8_ab.jpg
    143 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…