Must see Movies

Must see Movies

Kuna muvi flani tulikuangalia miaka ya nyuma kuna moja ni horror , kuna nyumba flani ya vioo ukiingia kwenye hiyo kuna watu wa ajabu. Walikuwa hawaonekani mpaka wavae miwani . Na ukivaa miwani hao hao viumbe walio kwenye hiyo nyumba ndo wanaweza kudhuru
. Kwa anae ifahamu jina naomba anitajie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa 13 ghosts (thirteen ghosts) kama sikosei ya mwaka 2001..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna movie flani niliiona kitambo kwenye vibanda uko miaka 1999's . Hii muvi ni ya kichawi noma. Ila kuna baadhi ya matukio nayakumbuka Jambazi wa hii muvi alikuwa anavaa form six nazani ilikuwa na mistar yenye rangi nyekundu na nyeusi, na kofia za mviringo .
Tukuo lingine nalokumbuka ni kwamba kuna binti alikuwa amelala . Jamaa alitokea chini ya kodoro na kuanza kunesesha kitanda binti akashituka kafunua shuka . Anamuona Yule Jamaa pale chini na kuamua kumkaba Yule binti.

Kwa anayefahamu jina la hii muvi. Anijuze.

A Nightmare on Elm Street.. Ziko nyingi sn na mhusika anajulikana kama freddie krueger ni shetani wa ndotoni unapomuona anakuwa anania ya kukuua na akikuua ndotoni basi unakufa kweli yaan huamki.. Nadhan ndo hii.. Ana kofia ya pama uso wake umeoza na anakucha ndefu za chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna muvi nyingine nimeicheki kitambo sana . Hii nilikuwa nazani kacheza uyu Jamaa wa kwenye clash of the Titans ya 1981. Lakini nilikuwa wrong nimemfatilia huyu nikaona siyo yeye.
Hii muvi naikumbuka sehemu ndogo sana
Ilikuwa ni kando kando ya bahari Yan pwani kuna janaa ni mkubwa linakuwa kama limeubwa kwa jiwe la chuma. Staa aliliuwa kwa kulitoboa mguu na kutoa maji . Na watu ili Jamaa walikuwa wanalifikia kwenye kisigino .

Kwa anae ipata hii muvi anitajie jina lake

Weka wazi hiyo movie ni ya zaman miaka ya 1981 au umeiona miaka hii..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom