king004
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 104
- 110
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Movie nilizoshindwa kuziangaliaMkuu ntajie luv story zko unazozkubali niztfte.
Inaitwa 13 ghosts (thirteen ghosts) kama sikosei ya mwaka 2001..Kuna muvi flani tulikuangalia miaka ya nyuma kuna moja ni horror , kuna nyumba flani ya vioo ukiingia kwenye hiyo kuna watu wa ajabu. Walikuwa hawaonekani mpaka wavae miwani . Na ukivaa miwani hao hao viumbe walio kwenye hiyo nyumba ndo wanaweza kudhuru
. Kwa anae ifahamu jina naomba anitajie?
Sent using Jamii Forums mobile app
A Nightmare on Elm Street.. Ziko nyingi sn na mhusika anajulikana kama freddie krueger ni shetani wa ndotoni unapomuona anakuwa anania ya kukuua na akikuua ndotoni basi unakufa kweli yaan huamki.. Nadhan ndo hii.. Ana kofia ya pama uso wake umeoza na anakucha ndefu za chumaKuna movie flani niliiona kitambo kwenye vibanda uko miaka 1999's . Hii muvi ni ya kichawi noma. Ila kuna baadhi ya matukio nayakumbuka Jambazi wa hii muvi alikuwa anavaa form six nazani ilikuwa na mistar yenye rangi nyekundu na nyeusi, na kofia za mviringo .
Tukuo lingine nalokumbuka ni kwamba kuna binti alikuwa amelala . Jamaa alitokea chini ya kodoro na kuanza kunesesha kitanda binti akashituka kafunua shuka . Anamuona Yule Jamaa pale chini na kuamua kumkaba Yule binti.
Kwa anayefahamu jina la hii muvi. Anijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Spiderman. Amecheza uyu dogo home comingSpider man far from home nayo iko powa kwa kuangalia
Weka wazi hiyo movie ni ya zaman miaka ya 1981 au umeiona miaka hii..Kuna muvi nyingine nimeicheki kitambo sana . Hii nilikuwa nazani kacheza uyu Jamaa wa kwenye clash of the Titans ya 1981. Lakini nilikuwa wrong nimemfatilia huyu nikaona siyo yeye.
Hii muvi naikumbuka sehemu ndogo sana
Ilikuwa ni kando kando ya bahari Yan pwani kuna janaa ni mkubwa linakuwa kama limeubwa kwa jiwe la chuma. Staa aliliuwa kwa kulitoboa mguu na kutoa maji . Na watu ili Jamaa walikuwa wanalifikia kwenye kisigino .
Kwa anae ipata hii muvi anitajie jina lake
Sent using Jamii Forums mobile app
La la land??Ingia google to search.. Ziko nying sana tena sana.. Ila ijaribu la la land
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii muvi niliiona miaka ya 1999'sWeka wazi hiyo movie ni ya zaman miaka ya 1981 au umeiona miaka hii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia google to search.. Ziko nying sana tena sana.. Ila ijaribu la la land
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo movie ni clash of titans ya 1981 na mwaka 2010 wakatoa tena kama hyo na ndo aliyoigiza huyu sam Worthington (star wa movie ya avatar) lkn mwaka huo yaan 1981 hakuigiza yeye lkn story ni ile ile..
1.Saaho 2019#Prabhas
2. War 2019 #Shroff