Must see Movies

Must see Movies

Habari wakuu naomba mwenye link ya kudownload Vanguard ya Jackie Chan a nisaidie naomba mwenye link ya u torrent tafadhali
 
★Si Y A K U K O S A [emoji23]★
IMG_20200908_171421_299.jpeg
 
★Haka nako kanatosha kabisa kusukumia siku au unakaweka ka kiporo ka kupokerea WEEKEND [emoji23]★
IMG_20200909_154511_731.jpeg
 
Wadau naombeni list ya movies za ki thailand ze ye mkono wa kufa mtu
Zipo ambazo zimechanganya settings hasa locations pia wasanii kwa maana ya kwamba waigizaji waliotumika ni raia wa Thailand lakini locations pamoja na waandaaji ama wazalishaji wa filamu hizo ni kutoka mataifa mengine.

Mfano, kuna hii inayoitwa Paradox ya mwaka 2017.

Hiyo ni ya Hong Kong lakini pia imechezwa Thailand na kuna mastaa kama vile Tony Jaa n.k.

Pia kuna Hollywood movies vilizochezwa na waigizaji kutoka nchini Thailand. Hizi wengi wanazifahamu.
 
Wadau nisaidieni application ambayo nitaweza kupakua movie kupitia simu mana naitaji kucheki kupitia smart phone msaada tafazali
 
th

Tafuta hizi;
The living dead 1,2,3,4
return of the living dead 1,2,3,4
The Mummy
Conjuring 1,2,3,
Annabelle
It 1,2
the nun
insidious 1,2
I know What You did in the Last Summer !,2,3
Promethius
From Dust till Down
Friday 13 etc
Nilikua napenda horror movies sana ila The Nun ndio ilikua horror ya mwisho kuangalia nimeona najitesa tu vile niko muoga usiku naota sikai kwa amani giza likiingia nikasema tabu za nini zote hizi movie nichague mwenyewe, nidownload mwenyewe na bado niteseke usiku akuuu
 
Back
Top Bottom