Must see Movies

Inatakiwa utizame na mtu pembeni kupunguza uoga
 
Daahhh naombeni mwenye kujua movies za War za zamani kama ile Sparta , The legion, Merlin na nyingine type ixo au Zile za pakistan au historical War , Action true story na mind chalenging ....
Hizi zinatanua ubongo..
 
KWA ma legend wa horror

1) Insidious
2) drag me to hell
3) Jessabelle
4) Sinister
5) The Conjuring
6) evil dead
7) Poltergeist
8) Annabelle
9) Oculus
 
★Afu kuna jamaa kwenye kumuokoa demu wa mshikaji badala yakupiga mshale mbwa akapiga mguu wa demu [emoji23][emoji23]★
Nahitaji kufahamu jina la movies moja hivi niliitazama kitambo kidogo "watu walikuwa wamekwenda picnic afu io sehem waliokwenda wakakutana na mbwa wakali Sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…