Ndio ndioo mjombaa....Naiangalia kwa ajiri ya huyo dogo Damson Idris... Hajawahi niangusha pamoja na huyo jamaa
[emoji23] yap aisee ile movie huwa naikubal sn★Afu kuna jamaa kwenye kumuokoa demu wa mshikaji badala yakupiga mshake mbwa akapiga mguu wa demu [emoji23][emoji23]★
Thanks mzeeLACASA DE PAPEL
Thnks mzeeItakua ni Cujo
Inaitwa the breed[emoji23] yap aisee ile movie huwa naikubal sn
Tenet muvi ya kipuuzi kabisa
Hii app inaitwaje mkuu, naona imekaa vzr sana.
Kama.wewe kichwa box uwezi elewaTenet muvi ya kipuuzi kabisa
Sawa kichwa trapezium
Wanaijeria waliita bodyguard,Wakuu ile movie ya mtoto bubu wa kihindi aliyeokolewa na mlevi inaitwaje? Yule Mnaijeria Rams Noah pia aliicheza nadhani, aliiga
Hahaha mkuu sjamaanisha wewe ni kichwa box[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa kichwa trapezium
Hapana, The Guardian AngelWanaijeria waliita bodyguard,
Sio ile ya Govinda?Wakuu ile movie ya mtoto bubu wa kihindi aliyeokolewa na mlevi inaitwaje? Yule Mnaijeria Rams Noah pia aliicheza nadhani, aliiga
Inaotwa Hatya.Wakuu ile movie ya mtoto bubu wa kihindi aliyeokolewa na mlevi inaitwaje? Yule Mnaijeria Rams Noah pia aliicheza nadhani, aliiga
Yaa umesahihisha zaidi mkuu, nilisahau kdg niliiona kitamboHapana, The Guardian Angel