Must see Movies

Must see Movies

Sijaiona BJ ila nimesikiliza reviews zake ambazo ni very positive hata ya kwanza pia sikuiona. Nataka kwenda kuiona Thor lakini machale yananicheza.

Okay, weekend hii nitaenda kuicheki..am sure ni vichekesho kwa sana ila sijui kama itanibamba vile..will keep you posted!..hiyo Thor sijaifikiria BAK..enjoy ukienda!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Okay, weekend hii nitaenda kuicheki..am sure ni vichekesho kwa sana ila sijui kama itanibamba vile..will keep you posted!..hiyo Thor sijaifikiria BAK..enjoy ukienda!!

Imesifiwa sana kuliko ya kwanza nasubiri feedback ili niitafutie nafasi kama inastahili. Kwenye box office weekend hii imefanya vizuri sana kwa kuingiza $86,480,000.


Have a lovely and enjoyable Monday
 
 
Last edited by a moderator:
Now this is a MUST see.
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Nataka kuiona hii movie
 
Last edited by a moderator:
Well not always but atleast i do it sometimes....


I always do that with music never with movies... infact nimedownload some music juzi..
Hapa nasikiliza continuously one of them wa Lil Wyne... kaloa humu ndani na HOW TO LOVE...
 
I always do that with music never with movies... infact nimedownload some music juzi..Hapa nasikiliza continuously one of them wa Lil Wyne... kaloa humu ndani na HOW TO LOVE...
Lil Wizzy ehhh?!Wow!So niambie partner....kwanini unacheza na music lakini movie unachezesha wengine!?
 
Hahah nchi gani zaidi ya South Africa inaweza kutoa movie ya quality nzuri kama hii....
Should have known...alafu hivi nlikwambia asante kwa GANGSTA PARADISE?!Maana nliamua kuitafuta baada ya wewe kuweka trailer mahali na nikaipenda kweli kweli!!
 
Back
Top Bottom