Must see Movies

Must see Movies

Nahitaji soft copy ya movies kali zaidi ya 100 (ziwe zimetafsiriwa kiswahili)
Kwa makubaliano ya kibiashara njoo PM tufanye biashara.
Nipo Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa movie kuna movie moja hivi ya zamani sana tumekuwa tukiiona, Kuna jamaa alipata mission ya kwenda kuokoa watu ikabidi atafute watu wengine kama saba hivi. ila hawa jamaa walikuwa wanatumia pikipiki katika mission zao ni movie kama imechezewa Vietnam. Naombeni jina kama kunaanae kumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiukweli movie kama HIDDEN FIGURES ya TARAJ P HEDSON, ACRINOMY ya huyo huyo taraj, FENCES hii movie ni ya 2014 ya DENZEL WASHINGTON, EQUALIZER II, bila kusahau SICARIO II aisee noma,, NOBODY FOOLS, NAPPILY EVER AFTER ETC
 
"Nam angels" Ya kivita ilitoka 1989

But kuna phantom soldiers naielewaga sana pia
Wazee wa movie kuna movie moja hivi ya zamani sana tumekuwa tukiiona, Kuna jamaa alipata mission ya kwenda kuokoa watu ikabidi atafute watu wengine kama saba hivi. ila hawa jamaa walikuwa wanatumia pikipiki katika mission zao ni movie kama imechezewa Vietnam. Naombeni jina kama kunaanae kumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom