Must see Movies

Must see Movies

Kitu ichonikera zaidi Ety Arnold Schwarzenegger kajisahau sana hatembei kama Mashine (Robot. Afu sijaelewa alizaa vipi Arnold Schwarzenegger na yule Mama Yani ipo kiboya sijapata ona ndo kwnza naanza kuona uboya wa hivyo Daaaah.
Terminator: dark fate naona ya kiboya bora hata judgement day. Kwanza Sarah Connor amezeeka kinyama. Halafu villain mwenyewe Hamna kitu bora enzi za Robert patrick

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ichonikera zaidi Ety Arnold Schwarzenegger kajisahau sana hatembei kama Mashine (Robot. Afu sijaelewa alizaa vipi Arnold Schwarzenegger na yule Mama Yani ipo kiboya sijapata ona ndo kwnza naanza kuona uboya wa hivyo Daaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
Big people can't act crazy movie! Ni vile tu wewe hujaelewa.
 
We umeelewa vipi mkuu jibu kulingana na nicho kiandika hapo juu???.

Maana alimwambia Sarah Connor kuwa alipomaliza mission aliahidiwa kuwa Binadamu baadae kapigwa Risasi kumbe bado ni Robot au alikuwa Binadamu upande wa Uume afu kuna scene alikwanguliwa kwenye shavu akatoka damu how comes Robot na Damu oops[emoji28]

Ndio unachokiamini kumbe ko "Famous ain't acting stupidity things " Unaluba Mkuu
mbona Movie nyingi tu wana boronga ntakupa list jibu kwanza [emoji651][emoji651][emoji651][emoji651] swali langu.

Huyo Sara baada ya kuona picha ya anorld akiwa na huyo mwanamke Sara alimuuliza na huyo mwanamke ni Terminator..? Anorld akamwambia kuwa alikutana na huyo mwanamke kabla ya miezi miwili akiwa bado hajamuua mtoto wa Sara!,Sara alichukizwa na hilo jibu na ndipo alipoangalia pembeni na yake akaona na picha ya huyo mtoto unaemuita wa anorld!! Akahoji pia
Anorld akamjibu kuwa huyo mwanamke alikuwa na mume(hapa kidogo nimesahau) ila huyo mume alipata matatizo fulani akataka kumuua huyo mtoto ktk kutapatapa huyo mwanamke akakutana na anorld ndo akaamua kumsaidia ndo wakawa na wapenzi... Mengine kachunguze mwenyewe huko sio unashindwa kuelewa vitu unakuja kutusumbua hapa unafikiri hizo ni bongo movie 😂 uwe unaangalia na kusikiliza kwa makini punguza stress mkuu
 
Ndio unachokiamini kumbe ko "Famous ain't acting stupidity things " Unaluba Mkuu
mbona Movie nyingi tu wana boronga ntakupa list jibu kwanza [emoji651][emoji651][emoji651][emoji651] swali langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzii u famous ila crew husika ma director,waandishi na wakaguzi wa kazi hawawezi kushindwa kuona kitu kidogo namna hiyo.
Kuna movie ukiziangalia unaweza toka kapa wewe!
 
Nitarudi kuangaloa Vizuri still hujanishinda kwa hilo pia kuna mambo mawili Pale niliongelea saaa nimeona moja jingine hujajibu kea nini Hakuwa anatembea kama Robot???? Au nalo Directors waliliona wakapuuza???
Huyo Sara baada ya kuona picha ya anorld akiwa na huyo mwanamke Sara alimuuliza na huyo mwanamke ni Terminator..? Anorld akamwambia kuwa alikutana na huyo mwanamke kabla ya miezi miwili akiwa bado hajamuua mtoto wa Sara!,Sara alichukizwa na hilo jibu na ndipo alipoangalia pembeni na yake akaona na picha ya huyo mtoto unaemuita wa anorld!! Akahoji pia
Anorld akamjibu kuwa huyo mwanamke alikuwa na mume(hapa kidogo nimesahau) ila huyo mume alipata matatizo fulani akataka kumuua huyo mtoto ktk kutapatapa huyo mwanamke akakutana na anorld ndo akaamua kumsaidia ndo wakawa na wapenzi... Mengine kachunguze mwenyewe huko sio unashindwa kuelewa vitu unakuja kutusumbua hapa unafikiri hizo ni bongo movie [emoji23] uwe unaangalia na kusikiliza kwa makini punguza stress mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitarudi kuangaloa Vizuri still hujanishinda kwa hilo pia kuna mambo mawili Pale niliongelea saaa nimeona moja jingine hujajibu kea nini Hakuwa anatembea kama Robot???? Au nalo Directors waliliona wakapuuza???

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Mkuu tusichoshane kafatilie maana ya Terminator utajua unataka kila kitu utafuniwe kuangalia uangalizi na kusimuliwa usimuliwe duh! Hicho kipaji sina
 
Samahani Mkuu ila sikuomba u Reply ila kiherehere chako tu samahani kwa usumbufu bwana.

Back
Top Bottom