Must see Movies

Must see Movies

Me nazani ilipo kuchanganya wewe ni anapoonyeshwa anasimulia afu mala action na upande wa iko owais kama nimepatia jina na kile kikosi cha Russian's basi wewe ndo ukaona inaumiza akiiili kweli na kwa upande wa watu wengine [emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ushangae sasa afu mie Movies & Series wanazo zisifiaga sana watu huwa naghaili kuziangalia Mfano Luke & Shaw ya Jason Statham na Dwayne Johnson na Avengers Endgame sijaziangalia mpaka sasa ninaziona nina zipuuza tu, maana utamu wake ushaisha sasa [emoji23][emoji23].
Mile 22 wameipa promo ila sio kali kivile

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo

Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana

Sent using Jamii Forums mobile app
The Blair Witch Project
The Ruins
The Forest
Nyingine sikumbuki majina Ila nyingi tu
 
Nisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo

Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine...
Cabin in the Woods
Quarantine(hii no "found footage " iangalie mchana 😎)
Doom
House of Wax
The Evil Dead(2013)
 
aliyeiona movie ya Sonic ya jimmy carry naomba anipe overview kama ni nzuri au mbaya
 
Back
Top Bottom