Must see Movies

Must see Movies

Ndio mkuu , wamechanganya hatari inavoanza na inapoelekea hahahahaa inahitaji moyo
Hii mortal kombat ya2021 inachanganya kwl sikutegemea sub zero kuwa ni adui maan ata Kwny game nmezoea kumuona ni star kingine mtt wa scorpion ukiangalia hata kwny game hayupo sijuh wamemtoa wapi ila nmependa wametuonyesha kifo cha Kung lao maana kwnye zile za nyuma hawakuonyesha jamaa kafaje anyway naiman part2 yake itakuwa kali zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am Subzero.Jamaa kanifurahisha Sana kwenye hii movies kwanza jamaa anapigana hatari na yuko fasta ata director alisema kwamba walikua wanamwambia apunguze speed ili warekodi vzr.Subzero kila akionekana lazima akinukishe
 
Screenshot_20210731-171924_Netflix.jpg
 
I am Subzero.Jamaa kanifurahisha Sana kwenye hii movies kwanza jamaa anapigana hatari na yuko fasta ata director alisema kwamba walikua wanamwambia apunguze speed ili warekodi vzr.Subzero kila akionekana lazima akinukishe
subzero huyo mwamba kacheza series ya warrior na movie ya swordman ni hatari na nusu huyo mwamba
 
Back
Top Bottom