Must see Movies

Must see Movies

Nipeni jina la movie ya hivi karibuni 2021 au 2022
  • Iwe na action zaidi
  • Maneno/dialog kwa uchache au hakuna kabisa.
  • Yaani heka heka mwanzo mwisho
 
Nipeni jina la movie ya hivi karibuni 2021 au 2022
  • Iwe na action zaidi
  • Maneno/dialog kwa uchache au hakuna kabisa.
  • Yaani heka heka mwanzo mwisho
Kwa 2021-No Body ,kwa mbali pia The Cop Shop na Gunpowder Milkshake

Kwa 2022-Kwa mbali kuna Ambulance ,The Contractor ,Furioza.
 
2022 movies
The Batman
Spider man no way home
The outfit
Turning Red
Yaksha
Sonic the hedgehog 2
All the old knives
Moonfall
War of the worlds
No exist
Adam project
Fantastic beasts
Sing 2
Uncharted
Morbius
Scream
The northman
Death on the nile
Ambulance
OLD
Against the ice
Restless
The bad guys
X
 
2022 movies
The Batman
Spider man no way home
The outfit
Turning Red
Yaksha
Sonic the hedgehog 2
All the old knives
Moonfall
War of the worlds
No exist
Adam project
Fantastic beasts
Sing 2
Uncharted
Morbius
Scream
The northman
Death on the nile
Ambulance
OLD
Against the ice
Restless
The bad guys
X
Hapo movie Kali na mtu unaenjoy na zenye mtiririko mzuri wa story ni Restless,death on the nile,scream na old hizo kama against the ice,adam project na morbius sijaziona sijui ubora wake
 
we are not the bad guys we just the guys trying to get home”....

Michael Bay kwenye ubora mwingine tena... Movie nzuri sana hii aisee
Screenshot_2022-04-26-15-26-48-84.jpg
 
Uzuri wa Hii movie uko wapi? Ebu tupe story ya Hii movie kiufupi kama hautojali
Ina husu ndugu wawili wanapanga tukio la kwenda kuvamia bank,kati ya hao ndugu wawili mmoja ni mwanajeshi mstaafu ambaye mke wake anasumbuliwa na kansa na hana pesa pension yake inazingua kutoka..anapata wazo la kwenda kwa ndugu yake, kufika kule jamaa ana mwambia pesa ipo ila inabidi kwenda kuvamia bank.. Mwanzoni ilionekana ni simple mission ila baadae inakuwa ni kutetea uhai wao baada ya kuamua kuiteka Ambulance iliyokuwa imebeba askali... Hapo ndio uzuri wa hii movie unaanzia,
 
Umemalizab kila kitu sina cha kuongeza
 
Back
Top Bottom