Must see Movies

Must see Movies

Hapana kuna muda watu huwa wanapuuzia kuangalia movie ko hata rates huendana na watu wangapi wameangalia pia wakaipenda movie husika ko sio lazima kuzingatia rates maana kuna movie nyingine utopolo lakini utakuta 9 rates [emoji23].

Trailer nimeicheck inashawishi iko moto jitoe muhanga 300 mbs kitu gani bhana mimi mwenyewe naishusha baadae [emoji23].
Poa hii kesho nikipata muda naishusha
 
Hell Dogs (2022): Movie ya wajapan, ex-police officer anajipenyeze kwenye Yakuza family ili kulipa kisasi cha mauaji ya wapendwa wake.
Screenshot_20230101-094656.jpg
 
movie za Low budget kama ndugu yake Scott Adkins [emoji23][emoji23][emoji38]
Ila scott kwanini hawampi mikataba ya maana mbona pigo zake ni kama mzee wa operation fortune johnwick na wazee wengine wenye mikono ya maana?
 
Ila scott kwanini hawampi mikataba ya maana mbona pigo zake ni kama mzee wa operation fortune johnwick na wazee wengine wenye mikono ya maana?
Jamaa mpaka huwa nahisi nje ya uigizaji huwa anamajukumu makubwa sana yanayo muelemea pia yakihusisha Pesa hivyo kukitokea Dili lolote kwa Bajeti yeyote yeye yupo tayari hataki kupoteza Pesa [emoji857].
 
Jamaa mpaka huwa nahisi nje ya uigizaji huwa anamajukumu makubwa sana yanayo muelemea pia yakihusisha Pesa hivyo kukitokea Dili lolote kwa Bajeti yeyote yeye yupo tayari hataki kupoteza Pesa [emoji857].
Yawezekana ila kama ni action jamaa anaweza sana
 
Yawezekana ila kama ni action jamaa anaweza sana
Jamaa ni kama ana mambo yake nje ya uigizaji maana sijui ni instructor wa ngumi na anatambulika kabisa.

Pia niliwahi soma sehemu kwamba hana mahusiano mazuri saaaana na Hollywood (nahisi ndio maana hajawahi kuwa a leading actor kwenye hizi movies kubwa huko Hollywood).

Pia kuna mdau nilisoma comment yake mtandaoni ambayo kwa kiasi kikubwa inaweza kuwa ndio sababu anaelezea kwamba Hollywood kuna actors wengi sana na wako vizuri kwenye kila kona, wametoa maisha yao kwa ajili ya acting muda wote wako on diet, gym, training etc and available. Profiles zao kuanzia kimuonekano wa nje mpaka kiuigizaji zinawabeba, na wanaweza cheza katika majukumu tofauti tofauti, yani leo anaweza cheza action movie na akafanya poa na bado ukimuingiza kwenye comedy anacheza vizuri vilevile (mf Samuel Jackson na The Rock) ndio maana bwana Scott inamuwia vigumu kutoboa pale kama tunavyodhania.

Hivi bwana Scott nje na mapambano/mapigano ni kitu gani kingine kizuri kwenye acting anaweza kukupatia?!
 
SWALI LA KIZUSHI

kwa uzoefu wenu wa kutizama movies za mapigani za hawa wababe, hivi kati ya Jason Statham vs Scott Adkins nani anakalishwa ki uharisia kabisa tukitoa yale ma mbwembwe ya kompyuta.
hq720.jpg
 
Back
Top Bottom