Must see Movies

Must see Movies

Wale wa comedy. Ina na love story kdg
Screenshot_20230115-081716_Netflix.jpg
 
Kitamboooo nasubiri nione kam itatoka ingine....ila maswali yangu mama yao na wale machaliii ninani haswa?
Mbona kawageuka mpaka madogo
It seems yeye ndo alimuua mume wake in the first place
Na yule dada aliempeleka kwa yule mpakistani mwanzoni kabla sean hajaja kumchukua ni wazi alipambana nae nusu ya kumuua iweje tena alivyorudishwa na sean yule jamaa hakumuuua?
Yaani ina loose end nyingi sana kias kwamba epsode ya mwisho ni kama mwandishi wastor alikua anasubiri opinion za watu....maana nafikiri ilikua inakua aired one by one..and real watu wengi sana walicoment why yule mdada kauwawa....ndo ksja katokea kipande cha mwisho
...nishawasahau majina kama miez mbili sasa
Bonge la series..Eliot ndio anakuja ku take over
 
Back
Top Bottom