Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gerald amefanya kazi nzuri kama ulipenda mission za jamaa wa mission impossible na muvie yake ya hivi karibuni... Basi hii ya gerald utaipenda tu[emoji16][emoji16]dah sijaielewa kwa kweli ila itabidi niimalizie tu ili niweze kurukia kwa Gerald Butler. Naomba nae asiniangushe tu, maana hizi mb nachoma afu unakuta mtu ana mabawa miguuni inauma aiseee!
Huu upuuzi wa kufuata ratings uliniponza mpk nika-download movie ya Forrest Gump.The Woman King ni ya kawaida tu, main action zake ni za vita na pia hiyo ni Drama kwa hiyo Ina stori pia.
Lakini hizi ratings sometimes sizifuati, Kuna series inaitwa the Bastard son and the devil himself, nimeiona Ina ratings kubwa nimeiangalia nikaishia episode ya kwanza tu[emoji23][emoji23] Nimeshindwa kuendelea nayo kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe ratings ziliniponza sana siku hizi sifuatilii sana ratings.Huu upuuzi wa kufuata ratings uliniponza mpk nika-download movie ya Forrest Gump.
Ni full ujinga
Gerald Butler movies zake huwa sijifikirii mara mbili mbili kudownload najua lazima itakuwa nzuri tu.Gerald amefanya kazi nzuri kama ulipenda mission za jamaa wa mission impossible na muvie yake ya hivi karibuni... Basi hii ya gerald utaipenda tu
Baada ya London has fallen ashushe chuma kingine.Gerald Butler movies zake huwa sijifikirii mara mbili mbili kudownload najua lazima itakuwa nzuri tu.
Mbona zipo mkuu. Kuna Hunter killer, Greenland (kacheki hii), Dean of thieves. Kaanze na hizi!Baada ya London has fallen ashushe chuma kingine.
Na hapo kuna Olympus has fallen (2013), London has fallen(2016) na Angel has fallen (2019) zote kali. Tusubiri movie yake nyingine 'Kandahar' hii itatoka mei mwaka huu.Baada ya London has fallen ashushe chuma kingine.
Hahahaha hio movie iko upande wa category ya Scientific fiction,[emoji16][emoji16]dah sijaielewa kwa kweli ila itabidi niimalizie tu ili niweze kurukia kwa Gerald Butler. Naomba nae asiniangushe tu, maana hizi mb nachoma afu unakuta mtu ana mabawa miguuni inauma aiseee!
[emoji16][emoji16]fungua uko nipairHebu nitumie kwa bulutusi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilishashindwa kupakua movie kwa hii website nomba nisaidie link ya YTS mkuu
Season 2 ya kibabe zaidi hasa episode 2. Kuna yule askari Robert jamaa kauzu kinoma.Ndio nimemaliza episode ya 10 season 1 wamemaliza vizuri sasa nihamie season 2
Ina episodea ngapi mpaka sasa maana nimeona 3 tuSeason 2 ya kibabe zaidi hasa episode 2. Kuna yule askari Robert jamaa kauzu kinoma.
Anawawasha vyuma tu wahuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli naelewa, lakini mkuu hivi kweli ina make sense kiumbe kuwa na vimabawa miguuni?! Katika hali ya kawaida tu hata Mungu akuwawekea ndege mabawa miguuni mwao.Hahahaha hio movie iko upande wa category ya Scientific fiction,
Kuna category nyingi za movie na kika mtu anaenjoy upande wake
Episode ya 4 ishatoka leoIna episodea ngapi mpaka sasa maana nimeona 3 tu
Mzee kigongo kikali sana mzee baba fanya ukinyakeMkuu ushaiangalia iko poa?
Ndio nipo naimalizia, afadhali hii kuliko 'Last seen alive'
Sure last seen alive ilipoa sana naona mwaka kauanza vizuriNdio nipo naimalizia, afadhali hii kuliko 'Last seen alive'
Yule nigga kasepa na kibegi cha hela[emoji16][emoji16]Sure last seen alive ilipoa sana naona mwaka kauanza vizuri
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app