Must see Movies

Must see Movies

Hongera kwanza kwa kuyajua hayo majina mpaka kiswahili[emoji16][emoji16]. Mabanda umiza yatakuwa yanakujua sana.
Movie za kihindi wana action za uongo sana...unaweza kuta movie Kali ila hizo action utoto mtupu
[emoji16][emoji16]juma khan a.k.a chikongwe maester wetu uyo ndo katupa maana ya majina ya hzo movie japo naweza kuwa nimekosea mengine ila trust me bro wahindi wa kuanzia 2010 kushuka chini walikuwa wanatoa story kali sana na uongo haukuwa mwingi kama miaka ya juu yake.

Alaf ngoja nikutofautishie kitu kimoja wahindi wa kusini wengi ndo waongo hayo ya kuchinjwa na ndizi na upuuzi mwingi unapatikana kwao lakin wahindi wa kaskazini hao niliowataja juu wale walikuwa hawaongopi sana na pia baadhi walikuwa wanadirected na wazungu mfano movie ya KRISH walidirected mapigano kwa kutumia movie kama Matrix(KRISH 3) na Shaolin soccer (KRISH 2) pia walikuwa na bifu la chini chini kati ya Kusini na Kaskazini.

Banda za video nimepoteza sana 50 50 na 100 zangu ila kiukweli walikuwa wanajua.

Baada ya wahindi wakaja wakorea ndipo Bongo Movie wakalalamika kwa serikal yao ya TZ mpaka wakataka fungia movie za kikorea ili za bongo zipate soko sijui lile sakata liliishaje ila Bongo movie walikuwa na wivu wa kijinga sana pumbavu zao.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16]asante kaka uchambuzi makini. Bongo movie naona ile ishu ishaishaga sasa kila mtu apambane na hali yake.

Hivi na wale Wahindi weusi ni wawapi nao?
 
Wahindi wanavituko sana. Niliona moja hiyo jamaa anapigana sijui na adui kwenye ghorofa A halafu kuna surgery ya moyo anafanyiwa mtu ghorofa B. Yule mwamba alimpiga sijui ni ngumi yule adui moyo wake ukachomoka ukaenda mpaka ghorofa B kwa yule mgonjwa aliekuwa anafanyiwa surgery, alikuwa ashapasuliwa kifua ule moyo ukadumbukia pale na hapohapo ukaanza kudunda jamaa akapata nafuu. Asieee nilishangaa sana inakuaje watu wazima mnaandaa movie hata mwez mzima halafu mnakuja vichekesho kama hvo[emoji16][emoji16]
Kuna iyo jamaa yupo jela mama yake katekwa akapigwa risasi ile kelele ikamfikia jela jamaa katoka jela kaenda home kaoga kavaa kaenda kwa demu wake wakaimba kabisa akachukua gari foleni pancha na. Kafika akaidaka. Ile risasi [emoji119]
 
Wahindi walikuwa zamani enz za Amita Bachan, Sunny deol,Sanjay Dat,Omrish Pur,Jack Shrof,Ajay Devgan,King SRK,Akshay Kumar, Hrithik Roshan,Sunil Shetty n.k waliteka sana soko yaani walikuwa wanatoa vyuma tupu usipolia kwenye story tamu kama Kal Ho Nao(Nani anaijua Kesho),utaguswa na Tere Naam(Jina lako) au hisia zitaamshwa na Qayamat(Kiama) apo tumeacha Aandha Kanon(sheria kipofu) oyaaa hawa jamaa walikuwa wanajua mpaka wanakera japo movie masong kibao sometime masaa hadi ma3 unaangalia tu movie moja lakin huchoki.

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Jaan dush man (adui wa maisha) [emoji119][emoji119][emoji119] koyla (kaa la moto)[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Tolywood ndio walianza kuharibu miaka ya 2008 na edit uchwara
 
Kuna iyo jamaa yupo jela mama yake katekwa akapigwa risasi ile kelele ikamfikia jela jamaa katoka jela kaenda home kaoga kavaa kaenda kwa demu wake wakaimba kabisa akachukua gari foleni pancha na. Kafika akaidaka. Ile risasi [emoji119]
Eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya Nkiri na Netnaija nani mkali
*Netnaija ndio mkali
*Netnaija ina higher video quality kuliko Nkiri ingawa tofauti ni ndogo lakini unaweza kutofautisha kwa macho
*Netnaija inakupa dual audio kwa muvi na series nyingi zisizo za Kiingereza. Mfano series kama Squid Game ukidownload kupitia Nkiri unapata audio ya Kikorea pekee wakati Netnaija unaweza kuchange language unaamua tu English au Korean
*Ingawa kwenye Nkiri unakuta subtitles built in ndani ya movie tayari lakini ninatumia Nkiri kwa emergency tu endapo movie haipo Netnaija ndio Naenda Nkiri mfano series ya Reacher Netnaija ipo ila haifunguki so ninatumia Nkiri kudownload. Nkiri hawaweki logo yao kwenye movie
* MB ni zilezile tu ila kwangu Netnaija ndio best
 
Hebu jina la muvi kali 😈😈😠😠😠
 
Apo kwenye kuweka logo ndo kitu kinanikera kutumia Netnaija naamuaga tu niende Yts
 
Wakuu kuna movie naona kaielezea jamaa Instagram anajiita Dullekid nahisi itakuwa kali me nshajinyakulia
IMG_20230214_183811.jpg
IMG_20230214_184002.jpg
 
Back
Top Bottom