Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Naamini itakuwa poa sanaIndiana Jones inarudi tena, safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini itakuwa poa sanaIndiana Jones inarudi tena, safi
Kama hujauona huu mzigo basi tena
#MedievalView attachment 2531559
Yes mimi piah niliacha kuwafuatilia kwasabb hiyo mala mtu anadaka ndege anairusha juuu, chukua mzigo mwingine huu hapa wa mwaka huu story yake na action ni nzuri
No Guts No Glory
A gang goes to rob a bank only to find that there's already a criminal mastermind holding it for ransom, but his identities and motives behind the heist remains mysterious. As they plan to collect the bounty and disappear without a trace, their crimes and their past slowly catches up with them.
View attachment 2528857
Farzi a.k.a Fake tamu sanaFarzi umeicheki?
Farzi a.k.a Fake tamu sana
Nilikuwa nataka kudownload RRR baada ya kukaa miaka 3 bila kuangalia muvi ya Kihindi lakini kila nikitaka kufanya uamuzi nafsi inanisuta sana na kunikumbusha bando nililochoma miaka mitatu iliyopita kisa hawa jamaa.Naisubiri season 2 kwa hamu sana. India kwenye story wako poa sana humo ndani wamefanya unyama sana. Hiyo Farzi kuna kipindi nilikuwa naicheki yanakuja mawazo na mimi nitengeneze mzigo wa Farzi yaani ilifikia nikaishika noti ya 10k nikaichunguza kwa umakini sana.
Mkuu icheki Thunivu imetoka mwaka huu, ni hatari sana.
Kana kwamba anacheza mpira wa miguuNilikuwa nataka kudownload RRR baada ya kukaa miaka 3 bila kuangalia muvi ya Kihindi lakini kila nikitaka kufanya uamuzi nafsi inanisuta sana na kunikumbusha bando nililochoma miaka mitatu iliyopita kisa hawa jamaa.
Ikabidi niangalie trailer lake kwanza. Nimeona bado Wahindi hawajabadilika, yaani sehemu za action kama kawaida yao ni Slow Motion mwanzo mwisho, halafu nikaona kuna mtu kaikanyaga pikipiki kwa nguvu kisha ikaruka hewani na ikazunguka juu kwa juu round moja halafu akaituliza chini, nikaghairi hapohapo kuidownload [emoji23][emoji23]
Nilikuwa nataka kudownload RRR baada ya kukaa miaka 3 bila kuangalia muvi ya Kihindi lakini kila nikitaka kufanya uamuzi nafsi inanisuta sana na kunikumbusha bando nililochoma miaka mitatu iliyopita kisa hawa jamaa.
Ikabidi niangalie trailer lake kwanza. Nimeona bado Wahindi hawajabadilika, yaani sehemu za action kama kawaida yao ni Slow Motion mwanzo mwisho, halafu nikaona kuna mtu kaikanyaga pikipiki kwa nguvu kisha ikaruka hewani na ikazunguka juu kwa juu round moja halafu akaituliza chini, nikaghairi hapohapo kuidownload [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuwa kama artist....hiyo thunivu ngoja niishushe nilikuwa nahofia kuchoma MBs zanguNaisubiri season 2 kwa hamu sana. India kwenye story wako poa sana humo ndani wamefanya unyama sana. Hiyo Farzi kuna kipindi nilikuwa naicheki yanakuja mawazo na mimi nitengeneze mzigo wa Farzi yaani ilifikia nikaishika noti ya 10k nikaichunguza kwa umakini sana.
Mkuu icheki Thunivu imetoka mwaka huu, ni hatari sana.
Hapana bado ila hipo kwenye watch list yanguFarzi umeicheki?
Iangalia kaka [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]ukiachana na mtu kurusha pikipiki movie inastory nzuri sanaNilikuwa nataka kudownload RRR baada ya kukaa miaka 3 bila kuangalia muvi ya Kihindi lakini kila nikitaka kufanya uamuzi nafsi inanisuta sana na kunikumbusha bando nililochoma miaka mitatu iliyopita kisa hawa jamaa.
Ikabidi niangalie trailer lake kwanza. Nimeona bado Wahindi hawajabadilika, yaani sehemu za action kama kawaida yao ni Slow Motion mwanzo mwisho, halafu nikaona kuna mtu kaikanyaga pikipiki kwa nguvu kisha ikaruka hewani na ikazunguka juu kwa juu round moja halafu akaituliza chini, nikaghairi hapohapo kuidownload [emoji23][emoji23]
Operation fortune umeishushia wapi?
Aisee kumbe vlc ilikuwa na shida ikawa inachagua. Miliunstall nikaweka nyingine so mambo fresh now.Unatumia player gani. Inabidi zicheze aisee
Oh kumbe ni camera version basi.Ninayo Cam version labda huko Torrent itakuwepo safi
Downloading nowHey pipo.
Kwa wale ambao wanaweza kuangalia movies za story basi angalieni hii muvi.
Iko vizuri sana
View attachment 2534618
Pablo inasema kuwa ice road ni nzuriEbhana eeeh nilikuwa sijaiona weee ngoma inaonekana kali sana..
Alaf naona movie Star akiwa mdingi basi jua ni mtata kinoma mfano John Wick,Nobody,Ice Road,Polar,machete n.k madingi wote umo ndani wamekiwasha kwelikweli
Huu moto ni hatari
Bro kama mliipenda squid game, Basi kaiangalieni na allice in the border land. Ni ya wajapan aisee ni 🔥🔥.@Introsagvert hii movie ulifakiniwa kuimaliza kweli naona inahitaji roho yangu iwe katili[emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app