Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Imetulia sanaPablo inasema kuwa ice road ni nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetulia sanaPablo inasema kuwa ice road ni nzuri
Iangalie na King'smanNimeamua kurudia kingsman secret service
kwa sababu wadau hamtaji muvi nyingine kali za kuangalia
Give me feedback please.Downloading now
Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupuNilikuwa nafuatilia series ya mwaka jana inaitwa "1899". Hii series ina story nzuri sana ya kufikirisha lakini nilipofika episode ya pili nikaona scene ya ushoga. Nikaishia hapohapo nikafuta na episode zote mbili ila bila ushoga series ilikuwa inaelekea kuwa tamu. Siku hizi Netflix wanapenda sana LGBT sijui shida nini. Bahati mbaya Hadi Wakorea nao wanaonesha huu ushenzi katikati ya muvi zao kama Project Wolf au series zao kali kama Squid Game.
Nikaona sio mbaya, nimeona kila mtu anaisifia Cobra Kai ingawa imefika season 4 sijui 5 na mimi nikaamua nianze nayo Season 1 na season 4 nitaifikia muda sio mrefu, maana episode zake zina MB chache sana halafu episode moja ni nusu saa tu. Huu mzigo binafsi nimeuelewa. Naendelea nao sasahivi. Hao 1899 wabaki na ushoga wao.
Inahusiana na nini?Hey pipo.
Kwa wale ambao wanaweza kuangalia movies za story basi angalieni hii muvi.
Iko vizuri sana
View attachment 2534618
Ya mauaji?Bro kama mliipenda squid game, Basi kaiangalieni na allice in the border land. Ni ya wajapan aisee ni [emoji91][emoji91].
Hi ilitoka kabla ya dquid game, aisee jamaa wanajua, afu pia story ni kali sanaa Living Pablo Introsagvert, Mafian cartel James Comey
View attachment 2534717
Washenzi kweli hao HBO si ata kwenye Game Of Thrones wameonyesha mambo yaoHaya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
Mbona ndio nimeitaja hapo ni tofauti?Iangalie na King'sman
Kingsman zipo 3, kunaMbona ndio nimeitaja hapo ni tofauti?
Oh nimekumbuka hiyo golden circle ndo walienda kentuky?Kingsman zipo 3, kuna
The Secret Service
Golden Circle na
King'sman
"What Happened To Monday?" Kama Bado hujaangalia hyo itafute.Nimeamua kurudia kingsman secret service
kwa sababu wadau hamtaji muvi nyingine kali za kuangalia
YesOh nimekumbuka hiyo golden circle ndo walienda kentuky?
Halafu hiyo king'sman ndo ngome ya adui ipo juu ya mwamba?/jabali kubwa?
Lion King nilipotezaga kutokana na ukali wake imebidi niidownload tena
Duh kumbe hadi The Last of Us Ina ushoga. Ndio maana nimeangalia episode mbili tu ghafla nafsi ikasita kuendelea nayo, kumbe mbele kuna ubwabwa.Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
TLOF ungeangalia episode ya 3 kwana mwamba anaitwa bill anaolewa na mwanaume mwenzie anaitwa FRANK na huko mbele huyu demu star Ellie nae anampenda demu mwenzake japo huu mzigo unastori na nzuri hasa kwasisi tuliocheza game lake , ushoga humo ndani umezidiDuh kumbe hadi The Last of Us Ina ushoga. Ndio maana nimeangalia episode mbili tu ghafla nafsi ikasita kuendelea nayo, kumbe mbele kuna ubwabwa.
Michelle Yeoh naye ameact muvi kali tu ya action inaitwa "Everything everywhere all at once" nayo inatetea ulesbian, pia wanaume ambao wapo kwenye fighting scene wanafanya mambo ya ovyo tu[emoji1751][emoji1751]
Naona siku hizi kwenye movies waongeze genre ya LGBTQ. Kwa mfano movie ni ya Action, Sci-fi, Adventure, Drama halafu kama ina mapenzi ya jinsia moja waandike pia LGBT ili sisi tuachane nayo mapemaaa. Siyo wanakaa kimya watu tunaangalia muvi tunakuta mambo ya ovyo. Shenzi zao!
Mashoga wanatulazimisha tuwapende sijui kwanini wanatumia nguvu kubwa kujitangaza, sasahivi ukimsema vibaya shoga unafunguliwa mashtakaDuh kumbe hadi The Last of Us Ina ushoga. Ndio maana nimeangalia episode mbili tu ghafla nafsi ikasita kuendelea nayo, kumbe mbele kuna ubwabwa.
Michelle Yeoh naye ameact muvi kali tu ya action inaitwa "Everything everywhere all at once" nayo inatetea ulesbian, pia wanaume ambao wapo kwenye fighting scene wanafanya mambo ya ovyo tu[emoji1751][emoji1751]
Naona siku hizi kwenye movies waongeze genre ya LGBTQ. Kwa mfano movie ni ya Action, Sci-fi, Adventure, Drama halafu kama ina mapenzi ya jinsia moja waandike pia LGBT ili sisi tuachane nayo mapemaaa. Siyo wanakaa kimya watu tunaangalia muvi tunakuta mambo ya ovyo. Shenzi zao!
Ehe kali sana, icheck
Hiyo ni cam version kutoka cinema mkuu. Yenyewe HD bado sijaichekiOperation fortune umeishushia wapi?
Wanakera sanaMashoga wanatulazimisha tuwapende sijui kwanini wanatumia nguvu kubwa kujitangaza, sasahivi ukimsema vibaya shoga unafunguliwa mashtaka