Must see Movies

Must see Movies

Zipo nyingi sijui unamaanisha ipi
Hii apa ya 2017
Screenshot_2023-03-07-18-25-30-46_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Hizi mambo yaani zimeshika hatamu sana ktk movies mpaka inakera.
Niliangalia woman king...pamoja ni African originated movie na mambo hayo hayakuwepo au kuzungumzwa. Lakini ktk ile movie wakaamur wamuweke mwanamume aliyekama mwanamke ili mradi tu agenda yao ifikiwe. Sad.
Hata mimi huyo jamaa sikumuelewa, hata kwenye la Brea kuna couple ya Lesbian na Gays japo hawajafanya chochote ila wanajitambulisha kama wao ni hivyo
Tehran nimeangalia muda hivi kuna hayo mambo maana mimi sikuyaona

Mibaba inamwagiana mate midomoni 😁😁😁 hiyo series niliishia season1
yani nmeishia episode ya 4 nmeipotezea haina maajabu
 
Wadau kuna movie nilitajiwaga tu jina inangumi mwanzo mwisho nonstop sio Botn To Fight lakini,Kwa anaejua jina tu??
 
Wadau kuna movie nilitajiwaga tu jina inangumi mwanzo mwisho nonstop sio Botn To Fight lakini,Kwa anaejua jina tu??
Kuna hii muvi ya muda kidogo "The Raid 2" ile muvi ina mkono wa hatari. Wakikaa kidogo tu ngumi zinaanza upya. Ni kazi ya SONY ENTERTAINMENT
Nahisi ni ya 2014
 
Raid 1&2
Headshot
Night Come for us zote hizo ninazo zinangumi dunia ya 7 ila nasikia kuna iyo baba lao yenyewe ni kichapo mwa-mwi
Wakati unangoja majibu ya watu kacheck REBORN ( ya japan 2016 ) au THE TOURNAMENT ( wamarekani )
 
Back
Top Bottom