Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Hostel umeshawai kuiona zipo kama3 hv, Pia kuna nyingine inaitwa mirror zipo 2 jarib hzoHii ChatGPT imeshaniharibia siku nimeiomba karibu mara kumi initajie muvi zenye damu nyingi inakataa, Hadi nimeinyenyekea. Shenzi kabisa [emoji35][emoji35]
Sasa nimerudi kwa JF expert naihitaji muvi yenye damu nyingi kuanzia 2017 hadi 2023. Ile Headshot sijaangalia kwa sababu ya kutokuwa na access nayo, Jigsaw pia sina access nayo.
Sasa naomba mnitajie muvi nyingine zenye damu nyingi, vurugu, kuvujishana ubongo n.kView attachment 2574099