Must see Movies

Must see Movies

Kwa wapenda movie Kali na yenye story Kali icheki hii Mdada mmoja anapoteza memories ya maisha yake yote baada yakupatwa na tukio kubwa inayompelekea kushinda hospital kwa muda mrefu wakati polisi wanachunguza tukio lililopata huyo dada kuna mtu mmoja anajitokeza hospital anadai ni mume wa huyo binti na kwasababu binti hana kumbukumbu zozote na kuna vithibitisho vinaonesha huyo jamaa ni Mumewe binti anaamua akubali lakini haijulikani Je ni kweli huyo jamaa ni Mumewe au sio? Na kama sio lengo lake ni nini?Wakuu noma sana itafute uone utamu View attachment 2584161
Hebu weka jina picha haikubali kufunguka
 
movie za 2022 - 2023 Hovyo sana kuna mtu kanipa "kill boksoon" kuna usagaji , ujinga ujinga
Itabidi uzoee mama ndio movie za sikuhizi, kama kuna series moja nilikuwa naangalia kuna scenes kadhaa wanawake wanakiss kabisa bila wasiwasi, wanaongelea mambo ya anal sex wazi kabisa like it's normal. Sehemu nyingine inaonyesha ndoa ya wanawake wawili. Wanafanya mambo yawe kawaida ila kwa jina la bwana hawatashinda!
 
Wakuu pitieni na hii ina story nzuri tu
Screenshot_20230412-135011.jpg
 
Cheki "secret obsession" utanishukuru ina story Kali
ntaitazama
***** alafu hiyo movie imetengenezwa na Netflix sikutalajia wakorea nao wafike huku kwa jinsi wanavyojiheshimu, NETFLIX kazi yao kubwa ni kusambaza hii agenda ya ushoga na mapenzi ya jinsia moja
yani hata mi nmeshangaa sana walikua wanajiheshimu , ila wamekua wa hovyo mno skuizi, movie zao sex scene zimekua nyingi wakati before hakukua na hayo, hata kiss ilikuaga kwa wasiwasi
halafu hio movie wanaokiss ni vitoto tu
Itabidi uzoee mama ndio movie za sikuhizi, kama kuna series moja nilikuwa naangalia kuna scenes kadhaa wanawake wanakiss kabisa bila wasiwasi, wanaongelea mambo ya anal sex wazi kabisa like it's normal. Sehemu nyingine inaonyesha ndoa ya wanawake wawili. Wanafanya mambo yawe kawaida ila kwa jina la bwana hawatashinda!
mi siwezi kuzoea zaidi naachana na movie yenyewe tu
 
ntaitazama

yani hata mi nmeshangaa sana walikua wanajiheshimu , ila wamekua wa hovyo mno skuizi, movie zao sex scene zimekua nyingi wakati before hakukua na hayo, hata kiss ilikuaga kwa wasiwasi
halafu hio movie wanaokiss ni vitoto tu

mi siwezi kuzoea zaidi naachana na movie yenyewe tu
Kuna muda nataka hata ku share movie na madogo lakini nikikumbuka kuna mambo ya upinde inabidi nighairishe! Nawapa animations tu!
 
Inahusiana na nini?
Mdada alifungwa jela kwa kosa la mauaji anatoka baada ya miaka 20 anakuta mdogo wake aliyemuacha akiwa na miaka 5 amekuwa adopted na familia nyingine na wakati anajaribu kukutana na mdogo ake ile familia inamuwekea ngumu, lakn wakati huohuo watoto wa yule mtu aliyemuua wanaanza kumtafita baada ya kusikia ametoka jela
 
Inaonesha ni nzuri shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom