Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Hii Avatar mpya nmeimaliza kwa mtazamo wangu nahisi itaendelea kwa jinsi ilivyoisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka kujua kama ni nzuri au ni upuuziHii Avatar mpya nmeimaliza kwa mtazamo wangu nahisi itaendelea kwa jinsi ilivyoisha.
OK thanksInaitwa "secret obsession" imetoka 2019
Weka jina picha haifungukiWakuu pitieni na hii ina story nzuri tuView attachment 2585330
Nimeiona..Wakuu pitieni na hii ina story nzuri tuView attachment 2585330
Mkuu hizo animation nazo pia za kuziangalia kuna clip niliwahi kutumiwa ile ya jurassic nini sijui ina mambo ya usagaji piaKuna muda nataka hata ku share movie na madogo lakini nikikumbuka kuna mambo ya upinde inabidi nighairishe! Nawapa animations tu!
Na alieua anakuwa sio yeye maskini ni yule mdogo wake...ila aliamua kum-protectMdada alifungwa jela kwa kosa la mauaji anatoka baada ya miaka 20 anakuta mdogo wake aliyemuacha akiwa na miaka 5 amekuwa adopted na familia nyingine na wakati anajaribu kukutana na mdogo ake ile familia inamuwekea ngumu, lakn wakati huohuo watoto wa yule mtu aliyemuua wanaanza kumtafita baada ya kusikia ametoka jela
Tupo...tupoUzi wa kikongwe huu!,hawa wadau sijui walienda wapi?,au wapo n ID mpya?...hongera kwao.1
Nimeshindwa kumaliza hiyo movie. Kuna mtu aliirecommend hapa nikaitafuta kucheki nakuta upuuzi huo nikaifuta kwa mza ya kishamba sijapata ona...ndefu story ndeedu mpaka inaboamovie za 2022 - 2023 Hovyo sana kuna mtu kanipa "kill boksoon" kuna usagaji , ujinga ujinga
Leta series kali kama the night agentBel air bongee mojaaa la series itafuteniiii mtakuja kunishukuruuu badaye
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mzigo mkali sana mzee hauboi masaa3 ya moto yenye heshima, Movie haina hata busu la mkono la bahati mbaya[emoji23]Tunataka kujua kama ni nzuri au ni upuuzi
Hamna stori mule zaidi ya ujinga, yani et anamwambia kabisa mwanae kuwa ni kitu cha kawaida kuwa hivyo.. aisee kwanza alienipa atanikomaNimeshindwa kumaliza hiyo movie. Kuna mtu aliirecommend hapa nikaitafuta kucheki nakuta upuuzi huo nikaifuta kwa mza ya kishamba sijapata ona...ndefu story ndeedu mpaka inaboa
Mi sipendi series...nataka kuangalia mwanzo na mwisho wa story biashara iishe, sio eti mwendelezo, I hate this!Kumbe hata wewe umeiyona sasa hiv natafuta series Kali vipi Unaweza kunipa list
Nipe jina la hii movie mkuu niishusheIpitie iko poa..ila ngumi hakuna huko
Cheki hizi movieNipe jina la hii movie mkuu niishushe
Avatar zipo nyingi zinakuja Avatar 3 inatoka December mwaka huu sabb walishashoot kitambo sana Avatar 4 inatoka mwakaniHii Avatar mpya nmeimaliza kwa mtazamo wangu nahisi itaendelea kwa jinsi ilivyoisha.
Animation zenye ushoga "strange world " imetoka mwaka jana hii dogo wa kiume anampenda mwanaume mwenzake na wazazi wake wanamsaport kwenye hilo " LIGHT YEAR" hii mwanamke anampenda mwanamke mwenzake na mpka wanafunga ndoa na kuzaa mtotoMkuu hizo animation nazo pia za kuziangalia kuna clip niliwahi kutumiwa ile ya jurassic nini sijui ina mambo ya usagaji pia