herio
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,245
- 4,320
Mzee usifanye kosa angalia utanipa feedbackNmeshachukua season 1. Naitafutia siku ambayo niko bored nianze kuishusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee usifanye kosa angalia utanipa feedbackNmeshachukua season 1. Naitafutia siku ambayo niko bored nianze kuishusha
Pamoja sana mkuuMzee usifanye kosa angalia utanipa feedback
@princess ariana [emoji28][emoji28]Kuhusu bel air season 1 and 2
-Inaburudisha mno
-Kama kijana mpambanaji itakufunza vingi
-kama mzazi au mlezi pia itakupa somo
Kina Mr Q mnaopenda action always hakika mnakosa vitu amazing kwenye hi series
[emoji23][emoji23][emoji23]make apo kwanza ncheke@princess ariana [emoji28][emoji28]
Bel Air mbona ipo fresh tu[emoji23][emoji23][emoji23]make apo kwanza ncheke
Et BelAir
Yani vitu kama Bel Air hapana yani sishawishiki[emoji1][emoji1][emoji1] Napendelea Thriller/Sci- Fi /ActionBel Air mbona ipo fresh tu
Kumbe kupenda movies za genre zote kama mimi ni kipaji [emoji16][emoji16]Yani vitu kama Bel Air hapana yani sishawishiki[emoji1][emoji1][emoji1] Napendelea Thriller/Sci- Fi /Action
niliangalia Bel Air mpaka pale walipoenda kucheza basket ball wakapigana Risasi ikanikifu Esp: maongezi ya Kigangstar kwakweli hapana nikarusha mpaka epsode ya mwisho napo nikakuta utopolo
nmezoea kuangalia vitu vya kufikirisha kama Kingsmen
Sana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hapo kila movie unayoiona unatamani iwe kama movie fulani wapenzi wa movie wanaopenda genre tofauti wanainjoy sanaKumbe kupenda movies za genre zote kama mimi ni kipaji [emoji16][emoji16]
Nyinyi ambao mko bounded kwenye genre chache nawaonea huruma sana[emoji28][emoji28]
sana, kwenye story peninsula iko vyemaa inafundisha sanana ndicho hicho hta nami nimeona
wanataka iendelee ilipoishia
ukweli ile peninsula ni kali sanaaaa upande wa storyline.
Hivi hii ni kali sana ,zipo season ngapiThe last of us
Hawezi elewa mkuuBel Air mbona ipo fresh tu
Nine (9) episodesHivi hii ni kali sana ,zipo season ngapi
Ni ya mwaka janaNine (9) episodes
Mwaka huu na bado inaendelea kutokaNi ya mwaka jana
Poa poa,Mwaka huu na bado inaendelea kutoka
Fanya hivyo
Unaweza kucheki trailer youtube kupata loloteFanya hivyo