Must see Movies

Must see Movies

Yani vitu kama Bel Air hapana yani sishawishiki[emoji1][emoji1][emoji1] Napendelea Thriller/Sci- Fi /Action
niliangalia Bel Air mpaka pale walipoenda kucheza basket ball wakapigana Risasi ikanikifu Esp: maongezi ya Kigangstar kwakweli hapana nikarusha mpaka epsode ya mwisho napo nikakuta utopolo
nmezoea kuangalia vitu vya kufikirisha kama Kingsmen
Cheki KIN...series ya kibritain ni nzuri sanainaitwa kin
 
Nimetoka kuiangalia, kwa wapenzi wa drama

Based on a true story
Screenshot_20230428_220524_Netflix.jpg
 
Nina movies nyingi lakini nikiangalia juu juu tu naona kabisa sina movie...wadau tupieni single movies kaliiiiii[emoji19]
 
Wazee wa kazi em ninaombeni mnipe top 5 ya Horror Movies nzuri, niifanye weekend yangu iende vizuri.
Introsagvert
Mr Q
Reuben Challe
princess ariana
Inategemea unataka horror za aina zipi. Kuna mwingine Horror movies anamaanisha muvi zenye mambo ya uchawi au nguvu za giza ambazo hizi nazijua chache sana.

Ila horror nyingine ni hizi
Escape Room: the tournament of champions 2019 single movie
Hii ni Thriller na ni psychological horror Kwa sababu inahusisha screaming na panic among people
images%20(29).jpg


Texas Chainsaw Massacre 2022 single movie
Hii ni Thriller na Horror. Inahusisha mauaji ya kikatili na damu nyingi. Sehemu kubwa ya mauaji hayo yamefanywa kwa kutumia Chainsaw
images%20(30).jpg


Army of the Dead 2021 single movie
Hii ina action na horror. Inahusisha mission ya kwenda kuokoa kiasi cha pesa katika eneo la Vegas city ambalo limejaa zombies. Ina comedy pia
22_43_15_images.jpg


Train to Busan 2016 single movie
Hii ni Action, Horror na Thriller. Inahusisha binadamu kubadilika na kuwa monsters ambao lengo lao ni moja tu; kumbadilisha kila mtu aliye hai kuwa kama wao, na Hali hii inasambaa kama tu kwenye movies nyingine za zombies, Kwa kung'atana.
Ugonjwa inasambaa kwenye train inayotoka Seoul kwenda Busan na watu wanataabika kujiokoa lakini mwisho wa siku kwenye train yote wanabaki survivers wawili tu
images%20(21).jpg


All of us are Dead 2022 series
Hii ni Action, Horror na Thriller. Zombie outbreak inatokea katika Hyosan High school Kwa hiyo kundi la wanafunzi walionusurika kuwa mazombie wanataabika kutafuta namna ya kutoka nje ya eneo la shule hiyo ambayo imejaa zombies kila kona
images%20(26).jpg


Scream 2022 single movie
Hii ni Horror na Thriller. Inahusu mauaji na mauaji mengi ni ya kuchomwa na kisu
IMG-20230428-WA0050.jpg
 

Attachments

  • images%20(30).jpg
    images%20(30).jpg
    29.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom