Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAK sijaiona pia hiyo hope springs, ni romantic comedy fulani kwa nilivyoona trailer. Ni movie ambayo unaweza ku-predict next move thus it won't whaao you!!
Usiniambie kuhusu Taken 2, mimi naenda kuiona J5 ijayo yaani inaonesha imetulia kweli . Taken 1 ilikuwa safi sana, I like Liam.
Ni kali pia, ukipata muda kaione
Lakini naona kama haijaifikia 1 BAK!
Ofcz Liam nampenda sana ila kwenye Taken 2, naona kama kila kitu kilikuwa so obvious...
Binafsi msisimko ulipungua kidogo ukilinganisha na 1, japo sikujutia kwenda kuiangalia as Liam anabaki kuwa Liam, ni mkali.
Naona kama mtengeneza series ya Dark Knight bado amewafunika wengi kwenyekuweka muendelezo wa visa..
Japo SKYFALL ndio habari ya mjini saiv ila nayo kwa maoni yangu haijaondoa uondo niliojazwa na The Dark Knight Rises.
Ukiweza kuchek hizo link, utaona review za wadau wa hollywood na jinsi walivyo-rate hizo movie nadhani mwisho wa siku tutakubaliana.
cc: AshaDii
Nakubaliana na wewe kuhusiana na Taken 2 ilikuwa too predictable... Ila yoote 9! Naisubiri kwa hamu Skyfall, kwa hamu zote...
Eh bado tu hujaiona SKYFALL ?
Mi nashukuru bongo imezinduliwa ijumaa, nikazama kuideku....!
Haya ngoja nisitie maneno mengi niseje nikakumalizia uhondo!
Ila naamini hautakuwa disappointed, hilo nina uhakika nalo sana.
Enhe tujikumbushie The Dark Knight Rises, uliicheki? Na je ulizichek zile za awali i mean The Dark Knight Begins na Dark Knight??