Must see Movies

Must see Movies

Baada ya kukosa Headshot kwenye wdbsite zangu za mchongo nimeona ni heri kuipata kwa kutumia torrents. Kama kuna sehemu ninaweza kupata Headshot kwa 1.5GB kushuka chini naomba link yake. Pia naomba muongozo wa kutumia torrents, sijawahi kutumia torrent kudownload muvi kabla
Lastly, naomba recommendation ya muvi zenye action na damu nyingi sana kama The Night Comes for Us, sio iwe na damu tu nataka pia iwe na vifo vya kikatili na wawe wanaoneaha kabisa kila kitu bila kuficha, yani muvi ambazo watu wenye roho nyepesi hawawezi kuangalia bila kufumba macho. Iwe ya 2014 -2023 kutoka nchi yoyote ile ila isiwe ya India [emoji4][emoji4]
Nataka Action+ gruesome death+ too much gore
Nenda Ukraine au Congo tu kaka utatimiza haja yako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndio kwanza niko dk ya 56, lakini nimeona ni pause nije nilete mrejesho, huyu babu salute[emoji16][emoji16][emoji16]kuna action za kibabe humu! Babu anapindapinda kipande cha wire anajishona ka uzi!!!
Screenshot_20230520-002758.jpg
 
Mzigo umetoka kwa sisi wapenzi wa movie za vita "mijegeje"...

images


Set during WWII, in this military adventure thriller, a small, and a specialized squad of U.S. Army U.S. soldiers and African American soldiers are sent on an unofficial rescue mission behind enemy lines to locate their missing commanding officer. The squad upon battling their way through their German defenses encounter more then they bargain for when they locate a downed U.S. Army fighter pilot. With the help of their friends at the 761st tank battalion helm, The squad must fend a way to survive and make it back in one piece with American peace.
 
Mbona Yts ina Gb iyo uliyotaja kushuka chini.

Download uTorrent playstore ingia browser unayotumia labda Mozilla, Phoenix,Chrome au Opera min search Yts ukiingia Yts download pale utakuta kuna 720web/blulay,1080web nk...... Apo bonyeza quality unayotaka itadownload ikiisha tu open hyo link itakudirect uchague uTorrent then apo itakuwa tayari inadowload.

Link iyi ya Headshot

Shukrani mkuu
 
Kwa sasa hivi angalia night agent na nyingine kaigiza rambo(tafuta jina lake)
kwa zamani ni hizi hapa
Breaking bad
Prison break
24
Blacklist
the capture
Korea kuna IRIS

TAJA ZA KWAKO
Criminal mind,the wire, the american ingawa hii inabid uwe na muda siyo bora kiviile kwa upande wangu. Lkn kwangu pb na blacklist ni za kwanza kabisaa brak8ng band bado sijaianza kuiangalia
 
Dah kama hivyo sitajiangaisha kucheki

Hahaha nakuelewa...

Mzee baba siku hizi hayo mavitu hayakwepeki kwenye series au movies...

Itazame tu kwani kwenye hii movie wamejitahidi hawajaonesha scene za kipumbavu zile za machoko kulana mate au kusukumana tope...
 
Warning [emoji3544][emoji3544]
Pitia kwanza reviews upate hata muelekeo wa series, usije ukajikuta week nzima unaangalia wanaume wanalana madenda tu
We unawaza ushoga tu, unadhani kuna mtu anaweza recommend series yenye ushoga humu? Hiyo ngoma nimeicheki na haina hivyo vitu.
 
We unawaza ushoga tu, unadhani kuna mtu anaweza recommend series yenye ushoga humu? Hiyo ngoma nimeicheki na haina hivyo vitu.
Kaka hatuwazi ushoga ila tunachukua tahadhari. Wazungu wameamua kutusogezea mambo yao sebuleni!
 
Back
Top Bottom