Must see Movies

Must see Movies

Yan kwa dc hizi ndo top best kwangu japo ni za wayback

IMG-20230522-WA0003.jpg
IMG-20230522-WA0004.jpg
IMG-20230522-WA0005.jpg
IMG-20230522-WA0006.jpg
 
Ile movie jamaa walijipanga sana. Actions za kibabe, kuna pale amezama kwenye ziwa halafu jamaa wanamfata hukohuko majini anawala kichwa kila anaemfata harudi[emoji16][emoji16]
Halafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.

Muvi hiyo imenifundisha mambo makubwa matatu

1. Uvumilivu
2. Tafuta mali kwa jasho lako lote
3. Linda KWA DAMU YAKO YOTE mali uliyo ipata kwa jasho lako lote .
 
Anatumia hewa kwenye mapafu yao kiaje mkuu
 
Mzee wa visusio[emoji16][emoji16] umecheki na evil dead za nyuma?
Bado sijacheki Ila kwa kuangalia Evil Dead Rise ya 2023 inaonekana kuwa za nyuma nazo hazina mauaji ya kikatili
Ila nitaangalia Kwa sababu kwenye Evil Dead Rise kuna mambo mengine nayapenda tofauti na damu. Napenda Jinsi watu wanavyopanic na kufight for survival, napenda zile scene za kushtua, napenda pia kuona wanahusisha damu kwenye supernatural movie na pia napenda kuona mwishoni wanabaki survivers wachache [emoji28][emoji28]
 
Halafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.

Muvi hiyo imenifundisha mambo makubwa matatu

1. Uvumilivu
2. Tafuta mali kwa jasho lako lote
3. Linda KWA DAMU YAKO YOTE mali uliyo ipata kwa jasho lako lote .
Yule dingi suala la kuogopa ndo hana alitoboa tank la mafuta yakawa yanamwagikia yule mjerumani katoa order mbwa waachiliwe mzee akajitia kiberiti[emoji28]
Screenshot_2023-05-21-21-28-20-04_4aed3257f278fcf7bfa3abd644e23333.jpg
 
Bado sijacheki Ila kwa kuangalia Evil Dead Rise ya 2023 inaonekana kuwa za nyuma nazo hazina mauaji ya kikatili
Ila nitaangalia Kwa sababu kwenye Evil Dead Rise kuna mambo mengine nayapenda tofauti na damu. Napenda Jinsi watu wanavyopanic na kufight for survival, napenda zile scene za kushtua, napenda pia kuona wanahusisha damu kwenye supernatural movie na pia napenda kuona mwishoni wanabaki survivers wachache [emoji28][emoji28]
evil dead za mwanzo alizocheza Bruce Campbell haziko terrified kihivyo

ila mpangilio wa matukio uko vyema kuliko ya 4 na kuendleea

hzo za kwanza zina ucomedy ulio serious ndani yake.

hasa ya 2 na 3.
 
Halafu anatumia hewa ya kwenye mapafu yao.

Muvi hiyo imenifundisha mambo makubwa matatu

1. Uvumilivu
2. Tafuta mali kwa jasho lako lote
3. Linda KWA DAMU YAKO YOTE mali uliyo ipata kwa jasho lako lote .
Dah pale unyama mwingi, ile scene nilirudia mara mbili[emoji16]
 
Bado sijacheki Ila kwa kuangalia Evil Dead Rise ya 2023 inaonekana kuwa za nyuma nazo hazina mauaji ya kikatili
Ila nitaangalia Kwa sababu kwenye Evil Dead Rise kuna mambo mengine nayapenda tofauti na damu. Napenda Jinsi watu wanavyopanic na kufight for survival, napenda zile scene za kushtua, napenda pia kuona wanahusisha damu kwenye supernatural movie na pia napenda kuona mwishoni wanabaki survivers wachache [emoji28][emoji28]
Leo naangalia ile ya nyuma 2013
 
Aseee john wick4 tayr imetokaa kwenye digital platforms mwenye link ya telegram channel nidownload wakuu
 
Back
Top Bottom