Must see Movies

Must see Movies

Netnaija wameumaliza mwendo
20230916_124441.jpg
 
Expendable 4 lini tunaitia mkononi kupitia viganja vyetu?
 
Sijaangalia movie yoyote ya expendable na nadhani hii ya nne nayo sitaiangalia
3/10 review by IGN
1695366703508.jpg
 
Hivi ile movie ya SALT huwa ina part two yake?

-Kaveli-
Zimepita movies nyingi zikiwemo naked weapons, atomic blonde, ANA ila hapo kwa SALT ubongo wangu unakubali kuwa hapata tokea muvi ya mwanamke itaipiku hiyo. Nimesha icheki mara kadhaa..

Kwa zingine ambazo siwezi kuzichoka ni
Agent 47 ile ya kwanza
Lone survivor (ya kivita)
Bourne legacy
No body
White house down
Ipo nyingine ya 2019 kama sio 2020 nimeisahau jina jamaa anagawa dozi humo inataka kufanana na no body
Na nyingine kwa mbali restless
 
Wadau hivi kama unachukua movie kupitia telegram chanel kuna option ya kubadilisha lugha toka hindi kwenda english hasa ukidownload via tera box
 
Back
Top Bottom