BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAK asante besti, nitaitafuta hiyo ''The Butler''. Asante kwa reviews zake..
You're welcome BelindaJacob....Have a great weekend
WOW!!! What a scary movie!!!...Without any doubt there will a sequel....I had to close my eyes in some of the scenes.
nilidhani utsema umeshaangalia bootleg....lol
Asante kwa kunitonya rafiki, nitazitafutaFixed Point & BelindaJacob na wapenda movies wengine tafuteni muda mkazione Gravity, Captain Phillips na Escape Plan, zote hizi tatu ni bomba sana.
Fixed Point & BelindaJacob na wapenda movies wengine tafuteni muda mkazione Gravity, Captain Phillips na Escape Plan, zote hizi tatu ni bomba sana.
Dah, kiongozi wangu nilifanikiwa kuiona "GRAVITY".....
Ni movie poa sana, ilinitilia huruma sana pale "Clooney" alivyoishiwa na gas na power so akapotelea kwenye space wakaachiana na Sandra....
Ni movie ambayo unaiangalia huku moyo upo juu juu as if surroundings zime- lose gravity lol!
Capt Phillips, Tom Hank.... naisaka sana bado!
Mkuu jouneGwalu, Gravity inafanya vizuri sana kwenye box office kuliko mategemeo ya 'movie analysts'. The success of this movie is through word of mouth. Captain Phillips based on true story nayo ni bomba sana, also watch out "the counselor" to be released on November 1, 2013 IMO it is among the best movies of 2013.
[
Kafanana na actor wa kihindi....