Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia usikose kuiona Mandela's long walk to freedom, Mwingereza Idrissa Elba ameicheza vizuri sana.
BAK umeiona Last Vegas??? funny one.
BAK nilikuwa nakufatilia huku na nimandika names of MOVIES that I will watch during this holiday
please naomba ukipata nyingine uni mention I like Black Americans Movies kwa sana please usiache
kuni alert
Sawa nitafanya hivyo Heaven on Earth usisahau pia best man nayo imetoka wiki chache zilizopita nayo nimeipenda pia kuna baggage claim nayo ni nzuri.
Mkuu, Long Walk to Freedom ni nzuri sana Idrissa Elba ameigiza vizuri.
Jamaa amecheza vizuri sana ni Oscar performance wasipompa Oscar Feb 2014 watakuwa hawajamtendea haki. Mie sijaiona nimeona trailer tu ila jamaa yangu kanihadithia kasema ni bomba sana, movie ilipokwisha audience walipiga makofi kama dakika tatu kuonyesha appreciation yao. Natarajia kuiona wiki ijayo.
![]()
Ni kweli hiyo home front ilikuwa na mauaji mengi sana ila nilipenda jinsi ilivyoisha. Jason Statham movie zake ni kali sana. Hii Black nativity naifatutia muda nikaione nimeona trailer nikaipenda sana. Pia usikose kuiona Mandela's long walk to freedom, Mwingereza Idrissa Elba ameicheza vizuri sana.
hizo movies unazo home? itabidi tutafutane........Best Man tayari nimeiona hiyo nyingine ntaiona next week.......hapa nina bunch of Movies leo usiku naaNza
na Mandela Long walk to Freedom....
hizo movies unazo home? itabidi tutafutane........
mimi pia napenda sana black american movies, na ninazo za kumwaga
Asante rafikiFixed Point, BelindaJacob & Heaven on Earth hii movie nayo ni bomba sana, Dicaprio kafanya vitu vyake ila ni ndefu sana masaa matatu. Kama nafasi itawaruhusu itafuteni na hii pia.
Fixed Point, BelindaJacob & Heaven on Earth hii movie nayo ni bomba sana, Dicaprio kafanya vitu vyake ila ni ndefu sana masaa matatu. Kama nafasi itawaruhusu itafuteni na hii pia.