TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Tajiri yule wa mabasi baloteli wakati anafanya mpango kuyapeleka huko nlimshauri
Sema yule tajiri smbdy kiheleni
Alimuoa bint mmoja wa kiarabu mixer wako hapo mvumi
Si unajua jamaa alitaka kuonesha ubavu wake...ukweni

Ova
Hata usimamizi haukuwa mzuri angedumu kwenye game. Kuanzia pale Msamvu na Kilosa walijaa ndugu, wakachangia kuua kampuni
 
Hata usimamizi haukuwa mzuri angedumu kwenye game. Kuanzia pale Msamvu na Kilosa walijaa ndugu, wakachangia kuua kampuni
Yule mmiliki alikuwa Bisho mtu mzima naye...mzee mzima unavaa hereni
Sema naye miaka 2 nyuma alikutana na kisanga fulani sasa sjui ametoka 😄 au
Mara mwisho nlikutana naye tulikuwa kwenye mghahawa wa wakwe zake pale mvumi tunapiga chai huku mimi najianda kwenda shambani maeneo ya mangombole kipindi hicho nalimq vitunguu huko
Si unajua mabaharia wote wanajuana,ila jamaa alikuwa na kazi ya pembeni ilikujaga mgarimu hadi akadakwa,hiyo nayo ikampoteza kabisaaa

Ova
 
Kazi gani
 
Hawa wanatumia pesa nyingi utadhani wataishi milele. Huyu jamaa alipiga pesa pale nssf akiwa dg na akaenda kufanya kufuru wizara ya fedha. Nothing is permanent
 
Hawa wanatumia pesa nyingi utadhani wataishi milele. Huyu jamaa alipiga pesa pale nssf akiwa dg na akaenda kufanya kufuru wizara ya fedha. Nothing is permanent
Kwaiyo kwakua hatuishi milele tusiEnjoy life? Na kuspend tusispend au sio!
 
Nampata sana Mpwa wake ni rafiki yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…