Makorokoro Bondeni
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 1,300
- 1,969
Apumzike kwa amani Mustafa Mkulo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapama op. nilichomaanisha vijijini wazee wenye hiyo miaka wengi ni wazima na wanaenda shamba kama kawaida, pressure. Kisukari hawana.
Wafe kabisa hatutaki hata kuwasikiaAliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
====For English Audience Only====
Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.
Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after President Jakaya Kikwete made changes to the Cabinet.
Pia Soma: The case against MUSTAFA MKULO
View attachment 2980376
Op.hata mjini ukiamua hayo maisha unaweza, marehemu mzee mwinyi ndio yalikuaaisha yake nimeanza kumuona akifanya mazoezi jogging kila siku asubuhi tangu nikiwa darasa la kwanza na alikua anasema anakula vyakula vya asili tu,anywi pombe havuti sigara.Ni kweli aisee!
Yaani life style ya hivyo naipenda mno !
Off course kwenda kuishi kijijini pia ni vizuri tu pia.
Iła ikibidi mahala ambapo hawakujui, ukawe mhamiaji, kwa jinsi nionavyo mimi.
msiba mdogo unakuwaje mkuu?Msiba huu mkubwa. Ninaipq Pole familia ya Mzee Mkulo
SIjakuelewa!Kwani ako na madhara gani kwa wananchi?
Kwani aliwahi kupewa dhamana ya kusimamia rasilimali za umma kukawepo mashaka yoyote?
Je alishawahi kupewa dhamana ya uongozi na kushukuwa kutumia vibaya madaraka yake au kuharibu maslahi ya umma?
Op.hata mjini ukiamua hayo maisha unaweza, marehemu mzee mwinyi ndio yalikuaaisha yake nimeanza kumuona akifanya mazoezi jogging kila siku asubuhi tangu nikiwa darasa la kwanza na alikua anasema anakula vyakula vya asili tu,anywi pombe havuti sigara.
Tufanye mazoezi, tule vyakula vya asili kwa wingi, tule nyama nyeupe, tunywe kwa kiasi hasa beer sio pombe kali, tufanye ibada.Ahaa ok!!
Inspiring much!
Sasa mbona alikufa!?Op.hata mjini ukiamua hayo maisha unaweza, marehemu mzee mwinyi ndio yalikuaaisha yake nimeanza kumuona akifanya mazoezi jogging kila siku asubuhi tangu nikiwa darasa la kwanza na alikua anasema anakula vyakula vya asili tu,anywi pombe havuti sigara.
Akiwa na miaka mingapi?Sasa mbona alikufa!?
Ila mkuu Mrangi huwa nakukubali Sana, kuna vitu huwa unaandika naona kabisa Hakuna fursa ilikupita na channel uliku-na unazo mpaka sasa, big up brother maana kwenye cheche upon, makabati ya Siri upo dah asee.Ilonga msalabani ndy ilikuwa sehemu yangu ya kwenda kutulia
Ukimya wa pale,mazingira nlikuwa naupenda sana
Batini pale vurugu na kulewa tu
Mkuu miaka hiyo ukionekana batini pale vijana wote meno njeee wanajuwa neema wameletewa....
Ova
Mpatie tundu kama unamkubaliIla mkuu Mrangi huwa nakukubali Sana, kuna vitu huwa unaandika naona kabisa Hakuna fursa ilikupita na channel uliku-na unazo mpaka sasa, big up brother maana kwenye cheche upon, makabati ya Siri upo dah asee.
Huwa nikiona koment yako moja najua Huko mbele kuna madini mengine umeshusha 😄
Uzi ufungwe, umemaliza mkuuWe mzalendo bakia na ufukara wako ili uishi milele, mafukara wazalendo huwa hamfi kabisa
Mvumi Express (Balloteli) walikuja vizuri, tatizo ile njia waliyochagua kupita Melela,Palakuyo,Kimamba ina rasta na inakata spring na chasis ya gari.Kuna baharia mmoja mwanangu sana alipelekaga basi zake zilikuwa zinaitwa baloteli mbona zilikuja juta
Inabidi waweke pia lami mpaka kwenda kimamba na ukitokea melela mikumi unaingia hadi kilosa nayo waweke lami....
Kilosa sahv syo kama ya zamani
Ova
Yes Mzee Mkulo alikuwa Sana anaonekana Pale,Sijui alikuwa na Project gani ama ni manunuzi tu kawaida vile ni mkazi wa Mikocheni.Dah huyu mzee mwezi uliopita nilionana nae pale Shoppers plaza Supermarket
Tufanye mazoezi, tule vyakula vya asili kwa wingi, tule nyama nyeupe, tunywe kwa kiasi hasa beer sio pombe kali, tufanye ibada.
78yrsumri wa marehemu?
Tajiri yule wa mabasi baloteli wakati anafanya mpango kuyapeleka huko nlimshauriMvumi Express (Balloteli) walikuja vizuri, tatizo ile njia waliyochagua kupita Melela,Palakuyo,Kimamba ina rasta na inakata spring na chasis ya gari.
Wakina Alsaedy na Islam njia ikiwa mbaya walikuwa wanapita Dumila,Mvumi,Rudewa,Ilonga mpaka Kilosa Town