TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Lami imeishia pale Rudewa Darajani baada ya Kijiji cha Gongoni ukitoka Mvumi
Sasa gongoni hapo nlikuwa nakuallaa juu kuna kambi moja nlikuwa nayo mitaa ya unone mlimani huko
Pale rudewa nlikuwa napanda juu pia kuelekea lumbiji nako nlikuwa na kambi..unapita shule ya kizunguzi unapanda juuu unavuka kale kadaraja na mto kwenda mlimani
Vi njiaaq vingi kule tulivichonga wenyewe
Huyu mbunge kila ukikutana naye ni tantatalilaaa

Ova
 
Sasa mkuu, Prof. alikuwa na maeneo mawili ya kuishi unataka azikwe kama kajambanani ? Anaswaliwa kwanza hapo Mikocheni, then safari ya kwenda Kilosa ambako obvious wanafika jioni kama siyo usiku sasa unataka azikwe usiku usiku?
Sisi waislam wa Tandamti tunazika siku hiyo hiyo.
 
So kwamba wanaenda Bali watu wanazeeka, waliohudumu serikali ya mkwere almost wote sasa hivi wanakimbilia 70+,80 sasa huo umri unachangamoto nyingi za kiafya has a kwa haya maisha ya mjini, kwa vijijin hakuna shida.


Kwa hiyo tuwashauri watu wakistaafu wakaishi kijijini au vipi ?! 🤷‍♂️🤷‍♂️ 😛😛
Naona itakuwa imekaa vizuri.
 
Allah ampe kauli thabiti amuepushie adhabu ya kaburi!
Nyumbu wanajua Lisu hafi
Siku akifa Lissu sijui watasemaje🙂

Nyumbu wanajua Lisu hafi

Kwani ako na madhara gani kwa wananchi?

Kwani aliwahi kupewa dhamana ya kusimamia rasilimali za umma kukawepo mashaka yoyote?

Je alishawahi kupewa dhamana ya uongozi na kushukuwa kutumia vibaya madaraka yake au kuharibu maslahi ya umma?
 
Mungu ampumzishe mahali anapostahiki. Sijui huyu na huyu wa sasa nani kilaza zaidi!
 
Siku akifa Lissu sijui watasemaje🙂

Kwa yule Mwenyezi Mungu amekataa asife hadi atakapomaliza kutimiza makusudi aloitiwa hapa Duniani.

Kama hakuna kwa malisasi idadi ile ya kuua tembo, Basi watesi wamejua Mungu amekataa.
He will not die, atasimulia matendo makuu ya Mungu.

Wanaondoka Watesi wake tu.

Mungu ni zaidi ya Fundi Mchundo na Mhandisi.

Jina la Bwana Mungu kitukuzwe daima.
 
Back
Top Bottom