m sukuma hoiMsukuma oyee
Hili jinga linajivunia pesa , wakati huko kwetu kuna kiazi mmoja anapesa kama serikali na wala hatambi kwa sababu kazungukwa na watu makini na wenye akili mingi.Huyu Msukuma ameanza kutukanwa huko mitandaoni na Gez Z 😂😂
Wanasema hatowajibu kwasababu hajui Kiinglsh😅😅
Tukiwa kama Uganda tu, Musukuma hawezi kuwa hata diwani.Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China.
Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi Tanzania tunapaswa kuelekea muelekeo huo. Asichofahamu Musukuma ni kwamba tukifuatisha njia ya China yeye Musukuma asingeweza kuwa mbunge kamwe, sidhani kama hata udiwani anaweza kuupata kama tukichukua njia ya CCP.
Pesa zenyewe huyo Msukuma alizipata kupitia utekaji wa mabasi.Msukuma ni kiazi mmoja mwenye pesa
Pesa ni pesa tu , africa kupata pesa kihalali kwa mifumo hii usitegemeePesa zenyewe huyo Msukuma alizipata kupitia utekaji wa mabasi.
Msukuma darasa la saba,anaongea nini huyoMbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China.